Tanzania to be the first country to own A220-300 in Africa

Status
Not open for further replies.
Hey Mr. Kiranga, pls do us a favor and stop using the 'thesaurus' feature from wherever you're getting it... thia ain't funny at all.. una umiza vichwa vyetu !
 
Grow up. Ufipa wanahusikaje hapa.
Mmeokoa watanzania wote kwenye Kivuko?
Hawana huo uwezo na walisema kulikua na watu 400 plus mpk leo hai wapo around 50 maiti zipo around 150 so izo zingine 200 plus watueleze zipo au ndo uongo wa kua watu walikua wengi

Leo jiwe kasema mwendeshaji alikua deiwaka means hakua anajua kuendesha au hakua anauona uzito wa watu kua wengi hahahaaa my foot
 
si ajabu kwa Tanzania kununua hizi ndege lakini uwezo w kununua taa waokoe watu usiku hawana
 
This is a book of gratuitous calumny prefaced by wanton chicanery.

A bottomless money pit hastily dug at the sacrificial altar of political grandeur.
Its also the first country to eat albinos in the world
 
Grow up. Ufipa wanahusikaje hapa.
Mmeokoa watanzania wote kwenye Kivuko?
Naona kama mfurahia hivi watu kufa Maji ili mjipatie political popularity.... haahahha upinzani wa nchi kaazi kweli..
 
Reactions: Oii
Mnaleta siasa hata kwenye majanga kama haya
 
Correct.
Kazi ya mwananchi ni kuinunia serikali na kuilaumu na kuikosoa.
Kazi ya mwananchi si kuisifia inapofanya kazi yake.

Ahaaa haaa haaa
ni nchi za mazombies ndiyo wenyewe kila siku kuilaumu serikali.
Teh teh teh tihiii
endeleeni na uzombie wenu.
 
The private sector which can not afford to keep the company above water. Remember its banks which hold that company not to sink.
 
For Kiswahili audience?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…