Punguza pressure buda! Gold is your biggest export, hizo zengine ni "others"... Alafu nyengine ulizotaja kama Cotton, Cement, Tobacco, Coffee , bananas, fish sio heavy metals, zinaweza kubebwa na hata ile 100year old MGR bila shida.Kwani una akili ya matope kiasi gani? Madini ni dhahabu tu? Copper? Nickel? Pia cargo kutoka Burundi, Rwanda na DRC? Je cotton? Je cement? Je chai toka Rwanda? Tobacco from Tabora? Coffee n bananas from Kagera? Fish products from Lake Victoria? Iron ore from Uganda?
Mind u korosho n sunflower agriculture is peaking up over there! Mind u charges per ton will be the lowest while transportation the fastest in the region!Punguza pressure buda! Gold is your biggest export, hizo zengine ni "others"... Alafu nyengine ulizotaja kama Cotton, Cement, Tobacco, Coffee , bananas, fish sio heavy metals, zinaweza kubebwa na hata ile 100year old MGR bila shida.
Good for you, but korosho na sunflower zinaweza kubebwa na reli ya 15 ton/axle, can you comprehend that. Alafu zao kama korosho sanasana linapatikana maeneo ya pwani. SGR inaelekea bara kwahivyo hatawahi hio biashara.Mind u korosho n sunflower agriculture is peaking up over there! Mind u charges per ton will be the lowest while transportation the fastest in the region!
Kwa Tanzania Simiyu na Ruvuma r other frontiers so don't argue on what u don't know!Good for you, but korosho na sunflower zinaweza kubebwa na reli ya 15 ton/axle, can you comprehend that. Alafu zao kama korosho sanasana linapatikana maeneo ya pwani. SGR inaelekea bara kwahivyo hatawahi hio biashara.
Geza you're very immature for your ageStrength zenu ni zipi hizo? Kwenda **** vichakani?
Wacheni kujishaua na wivu mnapoona jirani anaenda kuwa na capoacity ya ku-refine 1.5 tons za dhahabu kwa siku! Thamani ya hiyo dhahabu 450 kg ni zaidi ya mapato ya Mombasa port kwa siku!Geza you're very immature for your age
Una maringo nyingi utadhani nchi yenu mbovu ni first world.Wacheni kujishaua na wivu mnapoona jirani anaenda kuwa na capoacity ya ku-refine 1.5 tons za dhahabu kwa siku!
Incho ndo kiswahili cha wakenya usijifanye hujuiZenyu sio kiswahili fasaha
kuandika kwenyewe kunakupiga chengaIncho ndo kiswahili chawakenya usijifanye hujui
Sio tatizo ilimradi ujumbe umefika! mengine kimpango wako!kuandika kwenyewe kunakupiga chenga
Ukisema zenu wakunya hawaelewi sema Zenyu
be humbleSio tatizo ilimradi ujumbe umefika! mengine kimpango wako!
Ziko tatu. Mwanza. Geita. Na DodomaSafi sana.
Kilograms 960 kwa siku ni nyingi sana kukiwa na maana hiyo refinery ni kubwa kuliko zote hapa EA
Ya RW ni kilograms 220.
Tunahitaji nyingine kama hiyo mikoa ya kusini.
You are uncouthbe humble
thanksYou are uncouth
Tangu 1961 Tanzania aijawai kuwa na njaa au kuomba chakula, na kunawapa chakula kila mwaka wakenya. Nchi nzima inarutuba na ubichi wakutosha.For who? Tanzanians are struggling to put food on the table watavaa dhahabu saa ngapi? and its not even part of their culture anyway. Hakuna soko la dhahabu Tanzania.
Wahindi India wana dhahabu kwa wingi but are one of the poorest on earth.
Mukatupea😆 🧐Tangu 1961 Tanzania aijawai kuwa na njaa au kuomba chakula, na kunawapa chakula kila mwaka wakenya. Nchi nzima inarutuba na ubichi wakutosha.