Uhuru amesomea nini?Hakuna venye mtu amesomea chemistry ataelewa mambo ya economics ndio maana nimesema pongezi kwa economic advisor wake.
Huu mradi ni mzuri sana ila nashangaa umekufaje kibudu! TPDC wapunguze conversion cost ili wengi waweze ku afford.
Kasomea kupuliza bangeUhuru amesomea nini?
Hahaa.. hiyo diploma, degree alisomea niniKasomea kupuliza bange
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Taratibu tu Ushimen. Tuta ki master tu na sisi.
Haki wewe! [emoji16][emoji23][emoji23]
Hapa tunazungumzia Magufuli, hatumzungumzii Uhuru. Hivi mbona kila ninapotaja Magufuli, wengine wenu mnataja Uhuru? Kwani Uhuru ni jina nyingine ya Magufuli na mimi sijui?Uhuru amesomea nini?