Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Naangalia hapa hizi tuzo za tanzania top 100 campanies mpaka sasa wengi wa wamiliki wa hizi kampuni naona ni masingasinga,
naona hizi tuzo watanzania tumetupwa nje
inabidi tujipange miaka ijayo kushindana na hawa watu
naona hizi tuzo watanzania tumetupwa nje
inabidi tujipange miaka ijayo kushindana na hawa watu