Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Unajua tofauti ya investor na citizen mkuu??Kwani usingasinga unamuondolea mtu sifa ya kuwa mtanzania? Tuache ubaguzi, dunia ni kijiji kwa sasa, tualike watu zaidi kuwekeza bila kujali rangi ya mtu na nchi atokayo. Asilimia kubwa ya watanzania kipato cha kufungua biashara kubwa hatuna...
Asante kwa kuhamasisha nasi kujaribu fursa
Kweli wewe hujawaza kitu uzima kabisa.Umemwelewa mtoa mada kweli au?Nadhani hayupo ki-ubaguzi zaidi ila anachomaanisha ni kuwa,inakuaje wandendereko ngozi nyeusi kama sie wazawa hawakuchomoza katika top tena(nadhani alimaanisha hivyo).Tatizo NINI hawa wahindi kuwa na ukwasi?Sisi wazawa hatuna mbinu za ujasiriamali?Walikuja na ukwasi huo hapa nchini au mifumo ya kifisadi ndio imewabeba?Kwani usingasinga unamuondolea mtu sifa ya kuwa mtanzania? Tuache ubaguzi, dunia ni kijiji kwa sasa, tualike watu zaidi kuwekeza bila kujali rangi ya mtu na nchi atokayo. Asilimia kubwa ya watanzania kipato cha kufungua biashara kubwa hatuna...
Asante kwa kuhamasisha nasi kujaribu fursa