Tanzania tops East Africa in poverty.

I wonder how much Tanzanian peasants are paid.Maybe 70 kshs per day. Hili watatuelezea.
Domestic workers and gardeners are paid 30000tshs .mishahara ya LDC. That is 50kshs per day.
Ugandans who work as watchmen and shambaboys in Kenya are paid much better..
Ugandan domestic workers in Kenya
Not less than $60/month
 

Bila shaka kuna wimbi kubwa sana la wahamiaji kuja kutafuta hata hivyo vibarua mbuzi hapo kenya???

Mbona takwimu zinaitaja SA pekee kwa nchi za africa???
 
Hawa watani wetu huwa wana allergy kali sana ya takwimu. Wanachopenda zaidi ni porojo na pumba wanazolishwa na mchawi wao mkubwa, fisiemu. Eti sijui maendeleo ya Kenya ni bure kwasababu wakenya ni masikini zaidi ya watz. Kuna ile ripoti nyingine ya U.N., takwimu za 2018, umasikini Tz 56.3%, watu 30.9 Milion/Kenya 38.8%, watu 18.8 Million. Hiyo pia ukiitupia humu huwa wanasepa nakuacha viatu vyao nyuma. Oh what a world we live in.
 

Nonsense! In reality this is not true for Kenyans it is just mathematics e.g the highest wealth is owned by very very few guys at Nairobi, if you distribute this to the very very poor people who are seriously starving, it can be seen as if kenya is having higher standards than tz but the reality ni kwamba hawa jamaa wana maskini wa kutupwa wanakula mizizi da!!
 
Probably true but just a question, is Rwanda and Burundi not east african countries?
 
Sasa waTanzagiza mnataka tuwadanganye nyinyi ndio the richest Country in EAC yet mnajua tu vizuri hamjewahi kuwa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ati (TZ is the richest Nation in East Africa ! How?) there is no document in this planet Supporting that statement. Kenya is know to be the economic powerhouse of EAC hio kila mtu anajua.On the other hand,Tz is known to be the poorest Nation in EAC with 67.9 percent of the population living below the poverty line. Watanzania kweli mnaishi in denial [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sie wote ni masikini tu?. Hakuna wa kumcheka mwenzake
Siwezi Cheka mja yeyote. Badala ya kujadili jinsi tunavyoweza kupunguza huu umaskini wote naona watu wanajadili kuhusu minara wasiomiliki. Ni vizuri tuungane ili tuweze kukabiliana na haya majanga hapa afrika mashariki. My opinion tho
 
Siwezi Cheka mja yeyote. Badala ya kujadili jinsi tunavyoweza kupunguza huu umaskini wote naona watu wanajadili kuhusu minara wasiomiliki. Ni vizuri tuungane ili tuweze kukabiliana na haya majanga hapa afrika mashariki. My opinion tho
Karibu Tanzania tutakupa shamba.
 
How do you do comparison using different relative standpoint. In statistical analysis this is sh*t. First the countries have different popolation therefore their results were supposed to be in percentage on fraction. Second the reference point were also to be the same to validate their findings.

Now try to convert those data into percent.. Currently TZ is almost 56m, kenya arround 42m and UG 34m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…