Tanzania Tourism beats Gold earnings

Tanzania Tourism beats Gold earnings

Jitihada binafsi za Kikwete kuukuza utalii Tanzania zinazaa matunda.

Hongera Kikwete, na mijinga humu ilikuwa inamcheka eti anaenda Hollywood kupiga picha ma star wa huko kwa starehe zake. Misukule haijuwi kuwa hao ndio watumiaji wakubwa na watu wengi huko wanafatilia nyendo za ma selebriti kuliko hata za wanasiasa.
 
Back
Top Bottom