REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashauri kijengwe kabisa kiwanja katikati ya serengeti litue dege letu la dreamline na watalii liwamwage hapo.
Sio ushauri mzuri. Kuna viwanja vya ndege viko karibu na mbuga ila si ndani ya mbuga maana utaharib mazingira, ecology yote itaharibika.Nashauri kijengwe kabisa kiwanja katikati ya serengeti litue dege letu la dreamline na watalii liwamwage hapo.