Tanzani is setting tourism strategies in Asia. Tanzania kwa sasa inatumia mbinu za Kamikaze kutangaza utalii wake.
Ndege yetu ya Dreamliner itaanza safari zake mwisho wa mwezi huu kwenda Mumbai India.
India ni nchi ya pili duniani kuwa na population kubwa. India ipo na idadi ya watu zaidi ya 1,200,000,000.
Kisha mwanzoni mwa mwaka kesho route ya kwenda guangzhou china kupitia bangkok Thailand.