namriny
Senior Member
- Mar 21, 2020
- 172
- 186
Habari,
Yaani kitu ambacho nimekiona kwa nchi yetu ya Tanzania, ajira zikitangazwa, utasikia tunaongeza walimu na wataalamu wa afya, ni mara nyingi sana matamko yanakuwa hivi.
Sasa ina maana hawajui kama Tanzania kuna watu waliosomea fani mbalimbali, na je, wao hawana haki ya kuajiriwa na serikali.
Na kama ni ivyo basi vijana wanasoma sasa waelekezwe katika fani hizo mbili maana ndio kipao mbele cha taifa.