TUNATEKELEZA ILANI YA CHAMA KWANZA HAHAHA
TANZANIA TUTAFIKA KWENYE MAENDELEO MAZURI BAAADAE HUKOOOHabari,
Yaani kitu ambacho nimekiona kwa nchi yetu ya Tanzania, ajira zikitangazwa, utasikia tunaongeza walimu na wataalamu wa afya, ni mara nyingi sana matamko yanakuwa hivi.
Sasa ina maana hawajui kama Tanzania kuna watu waliosomea fani mbalimbali, na je, wao hawana haki ya kuajiriwa na serikali.
Na kama ni ivyo basi vijana wanasoma sasa waelekezwe katika fani hizo mbili maana ndio kipao mbele cha taifa.
Haujariwi ili ulipwe mshahara unaajiriwa kuziba "gap" flani kwenye kutatua changamoto,the higher the "challenge"unayopaswa kutatua the more the return.....the same apply to business......ukiona mtu biashara yake anauza sana bidhaa hata kama ni "heroin",jua kuna "gap"analiziba kwa drugs addictsHabari,
Yaani kitu ambacho nimekiona kwa nchi yetu ya Tanzania, ajira zikitangazwa, utasikia tunaongeza walimu na wataalamu wa afya, ni mara nyingi sana matamko yanakuwa hivi.
Sasa ina maana hawajui kama Tanzania kuna watu waliosomea fani mbalimbali, na je, wao hawana haki ya kuajiriwa na serikali.
Na kama ni ivyo basi vijana wanasoma sasa waelekezwe katika fani hizo mbili maana ndio kipao mbele cha taifa.
Heee! yamekuwa hayo tena.....haya madaktari kujeni huku kumbe mnaishia kugawa dawa tu...Udaktari au ugawa dawa?