Tanzania tuangalie fursa ya kibiashara Japan ya kuzika wajapan wanaofariki Japan waje kuzikwa Tanzania

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Japan Ni nchi iliyoendelea Lakini maendeleo Yana gharama kubwa pia.

Mfano mtu akifa Japan kutokana na ukosefu wa ardhi eneo la kuchimba kaburi lazima ununue na linauzwa kwa dola za marekani elfu 40 sawa na shilingi za kitanzania milioni 80 Kama huna maiti ya mtu wako inabidi ichomwe Moto .Kasheshe inakuja majivu ya maiti yako utapeleka wapi sababu pa kuyatupa au kuhifadhi lazima ulipie Sio chini ya milioni nne ukibahatika kupata kampuni ya kuyabeba au dini yao.

NASA wanaorusha vyombo angani wa marekani wamegundua fursa .Kwa dola elfu sita sawa na shilingi milioni 12 wanabeba majivu ya Marehemu mjapan kwenye vyombo vyao vya kwenda anga za juu na kuyatupa huko.Na wanatengeneza hela hasa.Je serikali yetu haiwezi omba tenda ya kubeba majivu na kuja kuyazika Tanzania wakatulipa?

Hii Naona fursa nzuri ya kibiashara.Serikali iangalie Hilo na private sekta pia
 
Hoja fikilishi lakini kwa tabia zao za ubaguzi hawawezi kukubali kuzikwa Afrika
Wabongo ambao hata kenya hamjaenda hua mna assumptions za ajabu sana. Ubaguzi sio big deal kama ambavyo mmeaminishwa. Japan nilikaa miaka zaidi ya mitatu sikuwahi baguliwa hata siku moja, tena kwenye train watu walikua wanakuja kuniongelesha tunapiga story na wakigundua kijapan kinapanda wanafurahi mno. Nchi zote nilizotembea sijawahi baguliwa.

Mnavyoona ubaguzi kwenye tv mnakimbia kujudge, ni sawa na wazungu wanavyoona waafrika kwenye tv maskini wanahisi waafrika wote masikini.
 
Japan ni miongoni nchi zenye ubaguzi kama mcheza tennis Naomi ambaye kamiksi African na Japanese pamoja na shinda gland slam's na kuipa Japan sifa lakini bado ana baguliwa sana ni kitu ambacho kina muuma sana..Au kwa kuwa we ni Mjapan
 
Japan Ni nchi iliyoendelea Lakini maendeleo Yana gharama kubwa pia. Mfano mtu akifa Japan kutokana na ukosefu wa ardhi eneo la kuchimba kaburi lazima ununue na linauzwa kwa dola za marekani elfu 40 sawa na shilingi za kitanzania milioni 80 Kama huna maiti ya mtu wako inabidi ichomwe Moto .Kasheshe inakuja majivu ya maiti yako utapeleka wapi sababu pa kuyatupa au kuhifadhi lazima ulipie Sio chini ya milioni nne ukibahatika kupata kampuni ya kuyabeba au dini yao.NASA wanaorusha vyombo angani wa marekani wamegundua fursa .Kwa dola elfu sita sawa na shilingi milioni 12 wanabeba majivu ya Marehemu mjapan kwenye vyombo vyao vya kwenda anga za juu na kuyatupa huko.Na wanatengeneza hela hasa.Je serikali yetu haiwezi omba tenda ya kubeba majivu na kuja kuyazika Tanzania wakatulipa? Hii Naona fursa nzuri ya kibiashara.Serikali iangalie Hilo na private sekta pia
wakizikwa bongo watapelekea nchi yao kuwa na nuksi. Labda CCM ing'oke madarakani.

Cc thetallest
 
Tatizo wewe uko ulaya Lakini hata fursa Kama hii badala ya kuchangamkia unadharau Basi Sio kesi endelea kufanya Kazi za kuvipeleka vibibi na vibabu na kuviosha kwa kuvichamba matako vikienda kunya vibibi na vibabu vya kizungu kwenye nyumba za wazee yaani eldely homes
 
Japan ni miongoni nchi zenye ubaguzi kama mcheza tennis Naomi ambaye kamiksi African na Japanese pamoja na shinda gland slam's na kuipa Japan sifa lakini bado ana baguliwa sana ni kitu ambacho kina muuma sana..Au kwa kuwa we ni Mjapan

Hapa Nimesoma zaidi ya mara mbili ndio nimeelewa.
 
Wabongo ambao hata kenya hamjaenda hua mna assumptions za ajabu sana. Ubaguzi sio big deal kama ambavyo mmeaminishwa. Japan nilikaa miaka zaidi ya mitatu sikuwahi baguliwa hata siku moja, tena kwenye train watu walikua wanakuja kuniongelesha tunapiga story na wakigundua kijapan kinapanda wanafurahi mno. Nchi zote nilizotembea sijawahi baguliwa.

Mnavyoona ubaguzi kwenye tv mnakimbia kujudge, ni sawa na wazungu wanavyoona waafrika kwenye tv maskini wanahisi waafrika wote masikini.
Acha uongo chief....tena huko kwenye treni kuna ubaguzi was hatari, ukiwa mtu mweusi hta kwenye siti hawakai na wewe!
 
Hizi sasa ni Bangi...

Moja cremation sometimes is a choice..not always a necessity

Mbili mtu kuamua kuzikwa kwenye anga za juu ni uniqueness kwahio wenyenazo wanaweza kulipa pesa nyingi (kuwa tofauti) show off

Tatu ni wangapi wana pesa hizo za kulipia funeral services ? Kumbuka majority ni just average..

Nne majivu sio lazima wayatupe mengine yanakaa kwenye vyungu ndani ya nyumba za wapendwa wao na hauwezi kuwazuia watu wasitupe majivu eti kwa kuwatoza pesa beyond their capability (unataka wayale ?)

Tano Its only a matter of time na huku cremation will be the norm... (ni environmental friendly)
 
Wabongo ambao hata kenya hamjaenda hua mna assumptions za ajabu sana. Ubaguzi sio big deal kama ambavyo mmeaminishwa. Japan nilikaa miaka zaidi ya mitatu sikuwahi baguliwa hata siku moja, tena kwenye train watu walikua wanakuja kuniongelesha tunapiga story na wakigundua kijapan kinapanda wanafurahi mno. Nchi zote nilizotembea sijawahi baguliwa.

Mnavyoona ubaguzi kwenye tv mnakimbia kujudge, ni sawa na wazungu wanavyoona waafrika kwenye tv maskini wanahisi waafrika wote masikini.
Japani awanaga ubaguz wowote tena wanapenda kuolewa na wa Africa kweli
 
Kama ni hivyo mbona tunge anza na wahindi maana hiyo ndiyo mila yao
 
Back
Top Bottom