Tanzania tuangalie fursa ya kibiashara Japan ya kuzika wajapan wanaofariki Japan waje kuzikwa Tanzania

HIVI TUKIWAUZIA KISIWA CHA MAFIA KWA DOLA AMBAZO TUTALIPA MADENI YETU YOOTE NA TUKABAKIWA NA NYINGINE NYINGI KUNA UBAYA GANI?
 
Kama ni hivyo mbona tunge anza na wahindi maana hiyo ndiyo mila yao
Uchawi wa kihindi naujua vizuri Sana majivu ya muhindi akifa Tanzania hupelekwa India kumwagwa kwenye mto mtakatifu ila Kuna mhindi wao mchawi wa kufa mtu anaitwa Mahatma Gandhi majivu yake akiagiza yamwagwe chanzo Cha mto nile pale Uganda ili wahindi washike biashara na Uchumi wa Afrika mashariki.Nenda Uganda pale mto nile unaanzia majivu ya mahatima Gandhi yalimwagwa pale majivu Mengine yakamwagwa Tanzania lake Victoria pale Mwanza ili wahindi washike Uchumi wa Tanzania Yalimwagwa pale karibu na kivuko pale ilipo ofisi ya CCM mkoa wa Mwanza.Na wahindi wakaweka sanamu ya Mahatma Gandi ikitazama ziwa pale ghandi hall Mwanza.Mahatma Ghandhi alisharoga Tanzania na kuiweka chini ya wahindi.Nabii wangu ninakosali ndio aliniambia
 
Hizo ni ngano tu kama zingine kama tukiamua kuwaondoa hakuna kitu kitakacho tokea hapo ni mambo ya imani tu wala hakuna kitu chochote cha ajabu
 
Kwa mara ya kwanza tangu nikufahamu umeandika kitu cha maana.. Naomba link nifanye mawasiliano... Nina ujuzi na marehemu na mila zao hasa watu wa huko
 
Basi wananchi tugawane kwa zamu maiti mmoja mmoja kwa kila familiya ya kitanzania ili kupunguza umasikini huu.....loh milioni 80 usawa huu !
 
Acha uongo chief....tena huko kwenye treni kuna ubaguzi was hatari, ukiwa mtu mweusi hta kwenye siti hawakai na wewe!
Ulishawahi enda japan ukakaa? Au umesikia story kwa watu desin yako ambao wao kila kitu ni negative?

Ukiona mtu hakai pembeni yako we unafikiti ubaguzi moja kwa moja? Sasa sikia nikwambia kuhusu culture ya wajapan ilivyo, wao ni watu shy sana, na mara nyingi wakiona siti iko empty wanaogopa kukaa hata kama pembeni ya hiyo siti wamekaa wajapan peke yake, sio kwamba wanabagua bali wanaogopa, sasa hii inawatokea wajapan kila siku ila siku ikimtokea mtu mweusi tayari anakimbilia kutangaza kua wamebagua kumbe wapi, kila wiki nikipanda bus au train nikiona seat empty mara 9 kati ya 10 watu hua wanaiacha nikifika naichukua tu, hata kama pembeni wamekaa wajapan peke yake.

Sasa wewe endelea na kuamini upuuzi unaoujua huku ukisafiri unaishia Kenya. Sisemi hamna ubaguzi 100%. Dunia nzima upo ila sio kama mnavyofikiri, unaweza kaa nje miaka hata 10 usibaguliwe hata mara moja kama mimi ambavyo sijawahi baguliwa pamoja na kukaa nje miaka yote
 
Chief cjawahi kufika Japan ila nimeangalia Chanel YouTube inaitwa black in Japan watu wote waliohojiwa wanalalamika hali ya ubaguzi ncbini japan

Sasa wewe unanichanyanya kwa kusema hamna ubaguzi
 
Mdogo hiii sijui in ya sasa ngapi
 
Wakati nasoma sikujua walikuwa wanamaanisha nini kusema dark continent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…