Sking zone
Member
- Jun 20, 2024
- 12
- 7
Kulingana na report ya CAG hapa nchini kwa miaka hii miwili imeonekana kuwa na mapungufu mengi kwani imeandamwa na hasara nyingi na baadhi ya vitengo kutokutoa report zao kwa muda sahihi
Jambo hili limeweka wananchi kuwa na sintofahamu nyingi kwenye bongo zao kwani hawajui nini maana ya kuchangia kodi zao kwa serikali hii siku zote jamii inataka report sahihi ili kujua wap nchi yetu inaelekea, mambo yafuatayo yanatakiwa kufanyika ili kupunguza ubadhilifu wa CAG hapa nchini
Serikali inatakiwa kuunda tume huru ya kufatilia naya siri ili kugundua ni njia zipi wanazotumia CAG kufanya ubadhilifu huo, hii itawapa hofu wakuu wa CAG kwani hawatakua na amani kwani watajua wanafatiliwa muda wowote, na kuwapa chachu ya kufanya kazi kwa.weledimkubwa
Serikali ichague na kuweka watu wanaojielewa na wenye uzalendo na mali ya umma, hii itapelekea kupunguza uendeshaji wa rushwa na aina.yoyote ya ubadhilifu hapa.nchini
Serikali iamasishe TAKUKURU kufanya kazi kwa kutoangalia sura na nafasi ya mtu yeyote afanyaye jambo lolote linalo husiana na rushwa hapa nchinihii itapelekea wana CAG kuwa na hofu juu ya matendi yao maovu wanayoyafanya hapa nchini juu ya report zao
Serikali iangalie nyuma ya pazia huenda wanafanya huu ubadhilifu kwakua na mishahara midogo hivyo wanahitaji kupata ujira wao kwa namna isiyo halali, endapo wataongezewa mishahara kama changamoto zao huenda hii itapungua
Serikali ifanye survey ya upelelezi ili kubaini ni nini chanzo cha ubadhilifu huo wa CAG hapa.chini hii itapelekea serikali kujua wapi pa kuanzia ili kuutokomeza ubadhilifu huu na kuleta tija kwa nchi yetu ijayo
Serikali yatakiwa kuwasimamisha kazi wote wanao endesha shughli za ubashilifu na kuwaweka wanao faa na wenye uzalendo na ndoto njema juu ya kuijenga tanzania tuitakayo na hii italeta hofu kwa hao watakao ingia kwenye nafasi hiyio kwani wakifanya maovu watatolewa kwenye nafasi hizo
Bunge likae na liandae sheria kali juu ya hao CAG endapo watafanya mambo hayo yasiyo na tija kwa nchi tuitakayo hapo baadae, na hii itawapa hofu waliopo kwenyenafasi hiyo na kuwachochea kufanya mema kwenye kitengo hicho wanacho kiongoza
Serikali ihakikishe suala la uongozi bora lina fanyiwa kazi kwani uongozi bora ni chanzo.na chachu ya maendeleo kwani uongozi ukiwa bora mambo ya rushwa na ubadhilifu yatapungua haoa nchini
Serikali iweke mfumo wa mtandao kufatilia mambo yote na data zote za CAG ili kuugundua huo uovu wa CAG Hapa nchini
Endapo hayayatafanyika huenda itafanya ujenzi bora wa tanzania tuitakayo hapo baadae

Upvote
4