SoC04 Tanzania tuitakayo inahitaji kuimarisha nyanja hizi

Tanzania Tuitakayo competition threads

Salum A Marobota

New Member
Joined
Jun 6, 2023
Posts
1
Reaction score
2
Ni Miaka Zaidi Ya 60 Sasa Tangu Kipindi kile Upepo Mkali Ukivuma Kwenye Fukwe za Bahari, katikati Ya njia ndogo Idadi ya Vijana Majasiri, Shupavu wakiwa na Minyonyoro Mizito Shingoni Na Miguuni, na Kamba Ngumu Mikononi Wakitembea Umbali Mrefu Kuelekea pahala ambapo Watumwa ufanyiwa mabadilishano na Mauzo, Vijana hao ndio Hawa tunaowaita babu zetu, bibi zetu, ambao walipambania nchi hii katika zama ngumu za Udhalilishaji na uonevu

Kipindi Kile Tanzania Yetu,iliitwa Tanganyika Leo Tumebakiwa na neno tanganyika kama historia na fahari ya nchi yetu kutokana na uzuri wa ziwa kubwa lenye Vivutio vya Kitalii,Shughuli Mbalimbali Ufanyika hapo ili kuifanya Tanzania Yetu kuwa bora kama baba wa taifa hili, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alivyolitabiria, Yeye alisema ili Tanzania Yetu Ifanikiwe Tunahitaji Kupambana na Maadui Watatu Malazi, umaskini na Ujinga, Juhudi Za Kupambana na Maadui hao zinaendelea Takbirani Miaka 60 Sasa Je Tunaonaje Tanzania Yetu Katika Miaka 25 Ijayo? katika Nyanja mbalimbali

1.𝘼𝙁𝙔𝘼
Katika Kulinda na Kuendeleza Maono Ya Baba Wa Taifa Kupambana na Adui,Malazi Tanzania Chini Ya Awamu 6 Za Viongozi wetu tumepiga hatua kubwa kama Vile kujenga vituo vya afya katika mikoa,wilaya,,kata na hata vijiji,hii iwe chachu na shauku ya kianzio kuelekea miaka 25 ijayo ambayo ni vyema kuandaa mikakati kama vile kuandaa Seminars mbalimbali juu ya kulinda afya zetu, ndani ya mikoa yote,lakini pia Kutoa elimu maarifa na madarasa ndani ya vituo tiba juu ya kujihadhari na maambukizi,lakini pia kuandaa vijana wakiwa shule za misingi juu ya kuweza kujifunza elimu afya ili wakue katika misingi ya kutambua afua zao

2. 𝙀𝙡𝙞𝙢𝙪
katika kuenzi na kuendeleza kupambana na maadui watatu Akiwemo adui ujinga,Tanzania yetu ndani ya miaka 25 naitazama ikiwa imara zaidi katika kutoa maarifa juu ya kujikomboa na adui ujinga, katika mikakati mbalimbali kama vile kuanzisha Vituo vya kutoa elimu bure kwa rika zote vituo ambavyo vitakuwa karibu na kila mtanzania katika kila kijiji, kuboresha miundominu ya kupatia elimu kwa vizazi na vizazi, kuongeza tija kwa watoa elimu kwa maana Walimu juu ya huduma zao za msingi na vifaa vya kyfundishia, kuandaa mitaala itakayoendana na utandawazi na dunia ya leo na kesho yenye mabadiliko zaidi

3. 𝙈𝙞𝙪𝙣𝙙𝙤𝙢𝙗𝙞𝙣𝙪
Tanzania ndani ya miaka 25 Tunategemea kuendana na mabadiliko ya Tabia dunia na utandawazi kwa maana kuendana na miundominu ambayo itaendana na dunia tutakayokuwa nayo kama vile kutengeneza Mifumo mizuri ya kuboresha barabara zetu ili ziendane na ubora wa kimataifa,kuandaa kamati mbalimbali shauri ambazo zitafanya kazi juu ya kushauriana na wizara ya miundominu,kamati ambayo itashirikisha jamii katika kutoa maoni mawazo na fikra zao juu ya maendeleo ya miundominu kwa maslahi ya taifa letu la sasa na hata baada ya miaka 25,serikali ikubali kukosolewa na wale wanaowaongoza katika njia ya kujenga na wale wanaokosoa wakosoe katika njia ya kujenga na sio kuharibu sifa ya taifa lao na serikali yao

4. 𝙐𝙘𝙝𝙪𝙢𝙞
Katika kupambana na wale maadui watatu na sasa adui wa nne rushwa Tanzania yetu haitaweza kufikia ukubwa wa ndoto ya baba wa taifa letu kama tutaendelea kuamini uchumi wa kati,uchumi bluu,unatosha kuifanya nchi kuwa bora ndani ya maiaka 25 tunategemea kuwa na tanzania ambayo itakuwa na watu wanaochukia rushwa na kupambana kuifanya tanzania kuwa na uchumi wa juu,kwa kuzingatia kupata mafunzo juu ya kukuza uchumi kupitia nyanja mbalimbali hasahasa kwa nchi zilizoendelea lakini pia kwa kuwawezesha wadhalishaji wadogo kuwapunguzia kodi na tozo za biashara zao ili wazalishe zaidi,lakini kwa kuweka usawa wa ukusanyaji wa maoato ya serikali,na kuwa wakali kwa wale watakaoenda kinyume na matakwa ya makubaliano yetu kama taifa

5. 𝙏𝙚𝙠𝙣𝙤𝙡𝙤𝙟𝙞𝙖
Tupo katika nyanja ya dunia kiganjani,kama taifa tunahitaji elimu ya kutosha hasa kwa watumiaji wanaojifunza matumizi ya teknolojia hasa kwa vijana iandaliwe mikakati thabiti ya kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya teknolojia ili kuepusha makosa ya matumizi ya kimtandao hasa kwa vijana,tunategemea ndani ya miaka 25 Tuwe na idadi kubwa ya watu wenye matumizi sahihi ya kimtandao ambao watatumia kufanya biashara mbalimbali kwa maslahi ya taifa letu,tutengeneze programu tija ambazo zitasaidia vijana kujifunza kupitia teknolojia na sio kutumia muda mwingi kuperuzi na kutazama mambo ya anasa,ziundwe tume mbalimbali zitakazodhibiti matumizi mabovu ya teknolojia ndani ya nchi yetu,ili kuandaa vijana ambao watakuja kuwa chachu ya Mabadiliko ya Taifa Letu Jema

𝙃𝙄𝙄 𝙉𝘿𝙄𝙊 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝙏𝙐𝙄𝙏𝘼𝙆𝘼𝙔𝙊
Ni wakati kama taifa kuacha kuota ndoto za kuifanya nchi yetu kuwa bora zaidi ya tulivyo,ni wakati wa kuamka usingizini, kushirikiana pamoja kama taifa katika kujenga nchi yetu kwa maslahi mapana ya vizazi vya baadae,Tanzania Yetu Njema, Tanzania Yetu ya Kesho Inatusubiri Ni Wakati wa Kuifata hatma yetu Ndani Ya miaka 25 ya mafanikio kwa taifa letu

𝙈𝙐𝙉𝙂𝙐 𝙄𝘽𝘼𝙍𝙄𝙆𝙄 𝘼𝙁𝙍𝙄𝙆𝘼,𝙈𝙐𝙉𝙂𝙐 𝙄𝘽𝘼𝙍𝙄𝙆𝙄 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼
 
Upvote 6

Chapisho zuri
 
Upeo umeona mbali, hongera sana kwa kushare fikra chanya.
 
Back
Top Bottom