TANZANIA TUITAKAYO
Ni miaka zaidi ya 60 Tangu uhuru na Muungano wetu wa Tanganyika na visiwa vya Zanzibar, katika kipindi chote hiki Serikali imekuwa na mipango Madhubuti ya kuhakikisha kwamba inainua sekta hiii ya Kilimo. Zaidi ya asilimia 80% ya wamejiajiri na kuajiliwa katika sekta hiyo mama kwenye kukuza uchumi wa Taifa
Kilimo Kwanza na sera nyingine ambazo ziliwahi kuweka katika sekta hii hazijafua dafu kuhakikisha kwamba sekta hiii inajitoshereza katika Nyanja mbalimbali na kutoa Ahueni na mwanga wa maendeleo kwa jamii nzima ya watanzania na kufanya njaaa isikike kama hadithi masikioni Mwa watanzania
Tangu uhuru mpaka Sasa sekta hii ya Kilimo imekuwa ikikumbwa na changamoto mbalimbali ambazo zinafanya kilimo kisiweze kustawi katika matarajio na maono makubwa ya watanzania, Baadhi ya changamoto hizi ni kama vile
1. Ukosefu wa wataalam wenye weredi mkubwa licha ya kuwa na chuo kikuu cha Sokoine (Sokoine University of Agriculture SUA)
2 . Kukosekana kwa Teknolojia katika sekta hiii watanzania wanao jishughulisha na shughuli za kilimo wamekuwa Bado wanatumia Teknolojia Duni kama vile jemba la mkono , Plau lakini hata unyunyiziaji wa Dawa katika mazao Haya Bado ni Duni.
3. Uagizaji wa viwatilifu nje ya Nchi , Miaka michache iliyopita Mbolea za Minjingu na viwatilifu vingine vilikuwa vikipatikana Nchini kwa urahisi na kwa Bei rafiki kulingana na Hali ya uchumi wa kila Mmoja mmoja lakini kwa Sasa Hali imekuwa tofauti
NINI KIFANYIKE KATIKA TANZANIA TUITAKAYO
1 Serikali iongeze nguvu mara mbili katika sekta ya Kilimo kwa sababu ndiyo sekta inayoajiri asilimia kubwa ya vijana
2 Wakulima waongeze nguvu katika kilimo cha mazao ya Chakula ili kumaliza balaa la njaaa
3 Serikali iweke Mifumo rafiki ya upatikanaji wa bidhaaa za kilimo Nchini
4 Kuboreshwa kwa Mifumo ya Elimu ili tuweze kuzalisha wataalam wa kutosha
5 Kubadilisha Teknolojia ili kuweza kuendana na Kasi ya Dunia .

Upvote
2