Sking zone
Member
- Jun 20, 2024
- 12
- 7
Na hii ndiyo Tanzania tuitakayo hapo baadae juu ya nyanja ya elimu hapa nchini Tanzania
Elimu sahihi na bora itafanya kuinua na kuchochea mambo mbalimbali hapa nchini kwani nchi itazalisha wasomi wengi na wenye weledi wa hali ya jui endapo mipango madhubuti itachukuliwa hatua
Ili kuujenga msingi juu ya nyanja hii nyerihapa nchini ni lazima serikali iwe macho na kuandaa sera madhubuti kama zifuatazo
Serikali yatakiwa kuongeza yaani kuajiri waalimu kwenye shule.zote nchini hususani kwenye shule.za.kata sekondari na hata shule za misingi
Suala hili litapelekea tanzania tuitakayo kutoa elimu bora na kupata wataalamu wenye weredi mzuri sana
Serikali yabidi kuboresha miundo mbinu ya kuhusu nyanja hii ya elimu kwa kujenga shule nyingi kulingana na uhitaji wa eneo husika na sio kuongeza madarasa.
Kwenye shule moja ilihali wapo wanafunzi wanaotokea mbali na shule hii itaoelekea wanafunzi waishio mbali na shule kutokufika ahuleni na hivyo. Kujihusisha na maovu huko mtaani kwani shule ni mbali nao hivyo ikawa ni mjengo wa tungo hizi pia serikali iangalie hii pia ili kuboresha mfumo wa elimu
Serikali yatakiwa kubadili mifumo ya ufundishaji yaani kuondoa suala la elimu ua vitendo hii itasaidia kwenye taifa hii kwani elimu ya vitendo italeta watu wenye weredi mkubwa katika nchi tuitakayo na hii kuchochea maendeleo kwani hii elimu ya nadharia haina. Manufaa hata endapo mwanafunzi. Atakaefeli kuendelea na elimu za juu anaweza kutumia knowledge yake. Aliyoipata shuleni kuujenga maingi wake mtaani na kujipatia kipato kwani aliueaoma nadharia hawawezi kujiajili baada ya masomo na hata akifanya hivyo haiwezi kua na weredi kama wa yule muhitimu aliyeasoma mambo yake kwa mitandao na hii itatupa waajili wengi kwani wao pia watatoa ajira kwa watu wengine
Serikali inatakiwa kusambaza vitabu kwenye shule zote secondary na hata za shule za misingi hii itarahisisha waalimu kuwafindiaha wanafunzi kwa weredi na hata wanafunzi kujifunza kupitia vitabu hivyo kwani ndio muongozo maalumu wa elimu yetu na pia ifanye ukaguzi wa vitabu vya ziada kwani vipo baadhi ya vitabu havina muhuli wa NEMAC na hii inaweza.kusaidia kutoa elimu bora kwa vijana ambao walikua wahanga wa swala hilo
Serikali iweke ada nafuu kwa vyuo vikuu kwani wapo wanafunzi hawawezi kumudu kulingana na hali ngumu ya maisha, na kutoa mikopo kwa wanafunzi wenye uhitaji bila kujali hadhi ya mombaji bali wenye uhitaji kama walemavu, yatima na wengineo hii italeta tija hapa nchini kuzalisha wasomi wengi kujadili ku kupambanuachangamoto zinaO ikumba nchi na kutoa njia za kuyatatua
Serikali iendeleekutoa scholarship kwa wanafunzi wanaofanya vizuri kqenye mitihani yao ya kitaifa kama darasa la saba, kidato cha nne na hata cha sita hii itapelekea ushindani baina ya wanafunzi hapa nchini na hii itachochea mabadiliko na ongezeko la ufaulu hapa nchini kwa wanafunzi hao juu ya kupambania scholarship
Bunge iandae Sheria kali na madhubuti juu ya wale wote wanao zuia wanao kuja mashuleni bali kuafanya kazi za kiuchimu mtaani, hii itaweka hofu ndani ya mioyo ya wananchi haoa mchini tanzania
serikali iandae mpango mkakati wa kusambaza.elimu juu ya faida za elimu bora na itakuaje kama wataikubali je, wataweza kuimudu? Na cha msingi iangalie namna ya kuelimisha jamii juu ya maendeleo ya elimu hapa nchini
Serikali iandae mipango mikakati ili kutenga budget maalumu na yenye kutosha juu ya mambo uote kuhusu elimu hii itapelekea wadau wa elimu kuimiza zaidi.
Serikali pia ijikite kwenye kuboreaha namna ya ufundishaji ili hali angalau tuendane na dunia itakavyo hivyo serikali iboreshe maabara za mshuleni na hivyo kujikita kwenye ufundishaji kwa komoyuta na intaneti
Na hii ndiyo Tanzania tuitakayo juu ya swala la elimu bora kwa miaka 5-10-15-25

Upvote
5