Kama nchi itunge na kusimamia sheria ya maziko itakayokataza kuzika watu kwenye makaburi ya zege kuanzia chini mpaka juu. Haina hii ya mazishi inaathari kubwa kwenye mabadiliko ya tabia ya nchi ukizingatia binadamu tunakula mazao ya ardhini, tunakula wanyama wanaokula vya ardhini. Kitendo cha kutozikwa moja kwa moja kwenye udongo inakata ecosystem na kuathiri rutuba ya ardhi kupelekea ata tukiweka jitihada kiasi gani kwenye upandaji wa miti bado haitastawihi ipasavyo na kupelekea mabadiliko makubwa ya hali ya hewa. Sisi ni mazao ya adhini tuipe ardhi kilicho chake.
Upvote
2