SoC04 Tanzania tuitakayo miaka 5, 10, 15, 25

SoC04 Tanzania tuitakayo miaka 5, 10, 15, 25

Tanzania Tuitakayo competition threads

gr mbanunu

New Member
Joined
Apr 23, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Tanzania nchi nzuri yenye udongo wenye rutuba ajabu kubwa sana ni kwamba imekaliwa na mapoli ambayo hayana future yoyote maono yangu

MAONO YA MIAKA 5
  • Kwanza elimu yetu ya veta na kilimo iwe ndo elimu tuachane na elimu za kikoloni zinadai kua tulikuwa nyani tuamini elimu yetu ambayo ikizalisha wataalamu .kuna nchi nyingi tu zina vita hazina chakula mapoli ya akiba ya yanayofuga fisi bora wapewe vijana wanaomaliza elimu za kilimo wachimbiwe visima wafanye kilimo cha umwagiliaji nchi inunue hivyo vyakula ili ajila ipatikane itafute masoko watu wasingelia hakuna ajila iwe mtanzania akimaliza elimu ya msingi aende chuo moja kwa moja.
  • Veta wao wazalishe wataalamu mbali mbali kama ilivyo tunavyoona kazi za watu wa veta zinazotumiwa na wakandalasi wageni kujenga miundombinu mikubwa mfano veta wakazalisha wataalamu wa watengeneza vizimba wakawapa wataalamu wa kilimo na ufugaji wakatumia tu ziwa victoria kuzaisha samaki wa kufugwa maziwani tukaanza je watu wangapi wangeajiliwa,.veta watengeneze mitambo ya kuchimba visima mapoli tengefu wafanye tu kupanda mapoli ya matunda kama parachichi na matunda mengine ya kimkakati au miti ya mbao kuliko kuona vichaka vikiludi nyuma wakati wa safali je mbao ingekuwa bai,Tutengeneze magali yetu wenyewe sababu geleji tunaona watu walivyo watalamu hata meli zetu wenyewe tunaweza tengeneza maana vijana wavuta bangi ambao wphawana kazi wanazulula tu wakati kama nchi tunatakiwa tuwatumie vijana
MAONO YA MIAKA 10
Kama tukizingatia miaka mitano ya kwanza miaka kumi tutakuwa tayali tushafikia hatua ya viwanda mbali mbali vya kuchakata vitu vinavyozalishwa .Tanzania tujulikane kwa product zetu zitokanazo na faida ya kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji na ufugaji wa samaki na mifugo ya kisasa kama ng'ombe wa maziwa ,mbuzi wa sufu,kuku wetu wa kienyeji n.k hatutakuwa tena na uvuvi haramu tutakuwa tu maziwa yetu yamejaa vizimba ambavyo vinapokea chakula cha kulishia hao samaki kutoka kwa watalamu wa mifugo hizi elimu mbili ndo ziwe elimu zetu na msingi wa taifa asingekuwepo mtu anaelia njaa

Hitimisho
Mimi wazo langu ni kwamba kama tukiwekeza kwenye kilimo na ufugaji kwa kuitumia veta kuzalisha wataalamu watakao saidia katika utatuzi wa upatikanaji wa vifaa kama mabomba na matanki mashine mbalimbali na nchi yetu ingekuwa mbali ila kuendelea kupoteza utamaduni wetu huko mbele kutakuwa kugumu tutanunua vyakula kutoka nje.haya maziwa tunayo mengi veta ikizalisha wataalamu wa kutengeneza vizimba tutakuwa na kiasi gani cha upatikanaji wa samaki na dagaa wa kutosha ndani ya maziwa hayo mimi ndo mawazo yangu
 
Upvote 1
Back
Top Bottom