SoC04 Tanzania Tuitakayo: Napendekeza Maboresho yafanyike Katika Bima ya Afya Kupitia Wazo Hili. "Self Mobile Health Insurance Service SMHIS "

Tanzania Tuitakayo competition threads

ESTOMIHI NNKO

Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
13
Reaction score
9
Utangulizi.
SELF MOBILE HEALTH INSURANCE SERVICE (SMHIS)
. Ni mfumo wa kidijitali utakao mwezesha Mwanachama hai wa bima ya Afya kuomba kupata huduma ya matibabu kwa kutumia simu yake mwenyewe pamoja na Huduma ya kiafya kwa kutumia bima kupitia mtandao yaani (Digital health insurance service) akiwa popote.

Hali ya Huduma za Bima za Afya Tanzania. kumekua na ongezezeko kubwa la watumiaji wa Bima za Afya apa nchini. Bima za Afya zimesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza garama za matibabu kwa Wagonjwa hivyo kuwezesha utoaji wa huduma za Afya kutolewa hata kwa wale wenye kipato cha chini kabisa. Hili ni jambo lenye tija kwa Taifa letu hasa tukizingatia kuwa Taifa lenye watu wenye Afya Njema na bora ni Msingi wa maendeleo. "Afya ndo Mtaji wa kwanza "

Changamoto Katika Mfumo wa Bima yaAfya wa sasa.
  • Wagonjwa na watumiaji wa bima kucheleweshewa Matibabu kwa Makusudi.
  • Bima ya sasa haimwezeshe mgojwa kapata huduma ya afya mtandao (digital health service).
  • Kutumia mda mrefu kuhakiki taarifa za Mgonjwa (upotevu wa mda).
  • Udanganyifu wa baadhi ya Wagonjwa kutumia bima zisizo za kwao.
  • Baadhi ya Vituo vya Afya kutotoa huduma fulani ikiwa unatumia bima.
-Suluhisho la changamoto hizi ni (Self Mobile Health Insurance Service) kwa kuzingatia uafani na utendaji kazi wake.

lengo la kuanzisha mfumo huu,
Ni kumwezesha mgonjwa/Mtumiaji wa Bima ya Afya kuomba kupatiwa huduma ya Kiafya yeye mwenyewe kupitia simu yake akiwa katika kituo cha afya au popote pale kwa wakati na mda sahihi.

Malengo
  • kuodoa changamoto ya Usubirishaji wa watumiaji wa bima katika kituo cha afya.
  • kuongeza Ufaninisi wa huduma ya bima kwa mtumiaji.
  • kuwezesha bima kutoa huduma kwa Wagonjwa (digital health services)
  • bima ya afya itaendana na kasi na Mahitaji ya sasa ya mabadilikoya teknolojia.
  • Mgonjwa ataweza kuwasilisha lalamiko endapo hajaridhika au hajapaiwa huduma.
  • Kuwezesha Watumiaji wa Biima ya Afya kupata huduma ya afya mtandao (digital health services).
  • Serikali/Sekta ya Afya itaweza kupata takwimu halisi kuusu mwenendo wa utoaji wa huduma ya Bima.
  • Mgonjwa kuwa na ushaidi wa uwakika endapo atalamikia huduma ya Bima ya Afya.
  • Kuimarisha Uwajibikaji na Usawa katika utoaji wa huduma za Afya.
  • kuondoa Udanganyifu kwa kutumia Nywila za udhibitisho.

vitu vinavyo hitajika kuwezesha Mfumo huu.
1. Bima ya Afya inayofanya kazi (active)
2. Simu janja au simu ya kawaida.
3. Mfumo wa Online/ QR code au Manu
4. Wataalamu wa afya.

HATUA ZA KUTENGENEZA MFUMO HUU.
1.Wizara ya Afya itasajili vituo vyote vya Afya vinavyotoa huduma katika Bima ya afya.
2. Huduma zinazotolewa na kituo hisika zitasajiliwa kwenye mfumo.
3.Kila kituo kitakuwa na Code/QR code maalumu.
4. Mfumo maalumu yaani onlinewebsite.
5. MENU maalumu kwa watumiaji wa simu ndogo.

JINSI YA KUTUMIA
1.
Mtumiaji wa mfumo huu atahitajika kutembelea kituo cha Afya akiwa na simu yake.
2.Kwa watumiaji wa simu Ndogo watatumia Menu na kuingiza code maalumu ambazo zitaonyesha huduma za bima katika kituo husika.
3. Mtumiaji wa bima akiingiza code za kituo ataona huduma za kituo husika kulinganana aina ya bima.
4. kwa watumiaji wa simu Janja wanaweza ku scan QR code au kuingiza CODE za kituo cha Afya katika mfumo wa online.
5. Mtumiaji atachagua Huduma anayo hitaji.
6.Baada tu ya kuchagua Ujumbe utaenda moja kwa moja kwa mtoa huduma.
7.Mgonjwa/ Mtumiaji wa Bima atapokea Nywila maalu ya Kudhibitisha kuwa amepata huduma.
8.Akisha pata huduma atampatia Mtoa huduma Nyimwila hiyo na kama hajapata Huduma itabaki inasybiri(Pending)hivyo Wahusika wanaweza kufwatilia sababu ni nini.
9. kama kutakuwa na Huduma ambayo huikuidhinishwa(confirmation) itaonekana kwenye mfumo kituo husika watatakiwa kutoa sababu au Maelezo.

Huduma ya bima ya Afya kidijitali (Digital health insurance service)
-Mtumiaji wa Bima ataweza kupata huduma ya Daktari kama ushauri na mambo mengine kwa njia hii.
-kwa kutumia Kodi mtumiaji ataweza kuomba huduma moja kwa moja kwa kutumia kodi ya kituo ambayo itafwatia kodi maalumu itakyo tumwa ili adhibitishe.
- hii itafanya watumiaji wa bima wapate huduma wakiwa popote.

Mwisho, wazo hili ni nzuri sana kwani linahitaji rasilimali kidogo sana na zinazopatikana. Naamini kwa kuangalia Masilahi mapana ya jamii ya Tanzania wazo hili litafanyiwa kazi. Nimeandika wazo hili nikilenga uboreshaji wa huduma ya Bima ya Afya kwa Maendeleo ya taifa.
-Naamini tunaweza kushirikiana zaidi kuboresha wazo ili kuwa na ufanisi zaidi.
- Naamini wazo hili litafika ngazi husika ili lifanyiwe kazi.
-Naamini vijana wenzangu wanamawazo mengi na mazuri sana hivyo naomba tuungane kwa mawazo hayo ili kuijenga Tanzania tuitakayo.
Nipo tayari kutoa ushirikiano wa uwakika katika kuendeleza na kuwezesha ufanikishaji wa wazo hili.
 
Upvote 11
Kiukweli ni wazo zuri sana kwa sababu litapunguza musongamano ( foleni) kwenye upatiwaji wa huduma za kiafya ukizingatia saivi mfumo wa kutumia bima kwenye upatiwaji wa huduma ni mbuvu sana me naishauri tu wizara ijaribu kuangalia namna ya kuboresha huduma hii kwa kuzingatia mawazo ya wadau kama haya yenye tija na kimaendeleo kwa Taifa🙏
 
Ni nia yangu kuona mfumo wa bima unaboreshwa ili uwe na ufanisi zaidi hasa tukizingatia Maendeleo ya kidijitali 🙏
 
Asante sana prof Aeron Jackson, kama utakuwa na swali au kuongeza kitu tunaweza kujadili zaidi, Tanzania ni yetu na mabadiliko ni sisi 🙏🙏
 
Hongera sana. Umegusa maeneo. muhimu kabisa na umeshauri nini kifanyike
 
Utangulizi.
SELF MOBILE HEALTH INSURANCE SERVICE (SMHIS)
. Ni mfumo wa kidijitali utakao mwezesha Mwanachama hai wa bima ya Afya kuomba kupata huduma ya matibabu kwa kutumia simu yake mwenyewe pamoja na Huduma ya kiafya kwa kutumia bima kupitia mtandao yaani (Digital health insurance service) akiwa popote.

Hali ya Huduma za Bima za Afya Tanzania. kumekua na ongezezeko kubwa la watumiaji wa Bima za Afya apa nchini. Bima za Afya zimesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza garama za matibabu kwa Wagonjwa hivyo kuwezesha utoaji wa huduma za Afya kutolewa hata kwa wale wenye kipato cha chini kabisa. Hili ni jambo lenye tija kwa Taifa letu hasa tukizingatia kuwa Taifa lenye watu wenye Afya Njema na bora ni Msingi wa maendeleo. "Afya ndo Mtaji wa kwanza "

Changamoto Katika Mfumo wa Bima yaAfya wa sasa.
  • Wagonjwa na watumiaji wa bima kucheleweshewa Matibabu kwa Makusudi.
  • Bima ya sasa haimwezeshe mgojwa kapata huduma ya afya mtandao (digital health service).
  • Kutumia mda mrefu kuhakiki taarifa za Mgonjwa (upotevu wa mda).
  • Udanganyifu wa baadhi ya Wagonjwa kutumia bima zisizo za kwao.
  • Baadhi ya Vituo vya Afya kutotoa huduma fulani ikiwa unatumia bima.
-Suluhisho la changamoto hizi ni (Self Mobile Health Insurance Service) kwa kuzingatia uafani na utendaji kazi wake.

lengo la kuanzisha mfumo huu,
Ni kumwezesha mgonjwa/Mtumiaji wa Bima ya Afya kuomba kupatiwa huduma ya Kiafya yeye mwenyewe kupitia simu yake akiwa katika kituo cha afya au popote pale kwa wakati na mda sahihi.

Malengo
  • kuodoa changamoto ya Usubirishaji wa watumiaji wa bima katika kituo cha afya.
  • kuongeza Ufaninisi wa huduma ya bima kwa mtumiaji.
  • kuwezesha bima kutoa huduma kwa Wagonjwa (digital health services)
  • bima ya afya itaendana na kasi na Mahitaji ya sasa ya mabadilikoya teknolojia.
  • Mgonjwa ataweza kuwasilisha lalamiko endapo hajaridhika au hajapaiwa huduma.
  • Kuwezesha Watumiaji wa Biima ya Afya kupata huduma ya afya mtandao (digital health services).
  • Serikali/Sekta ya Afya itaweza kupata takwimu halisi kuusu mwenendo wa utoaji wa huduma ya Bima.
  • Mgonjwa kuwa na ushaidi wa uwakika endapo atalamikia huduma ya Bima ya Afya.
  • Kuimarisha Uwajibikaji na Usawa katika utoaji wa huduma za Afya.
  • kuondoa Udanganyifu kwa kutumia Nywila za udhibitisho.

vitu vinavyo hitajika kuwezesha Mfumo huu.
1. Bima ya Afya inayofanya kazi (active)
2. Simu janja au simu ya kawaida.
3. Mfumo wa Online/ QR code au Manu
4. Wataalamu wa afya.

HATUA ZA KUTENGENEZA MFUMO HUU.
1.Wizara ya Afya itasajili vituo vyote vya Afya vinavyotoa huduma katika Bima ya afya.
2. Huduma zinazotolewa na kituo hisika zitasajiliwa kwenye mfumo.
3.Kila kituo kitakuwa na Code/QR code maalumu.
4. Mfumo maalumu yaani onlinewebsite.
5. MENU maalumu kwa watumiaji wa simu ndogo.

JINSI YA KUTUMIA
1.
Mtumiaji wa mfumo huu atahitajika kutembelea kituo cha Afya akiwa na simu yake.
2.Kwa watumiaji wa simu Ndogo watatumia Menu na kuingiza code maalumu ambazo zitaonyesha huduma za bima katika kituo husika.
3. Mtumiaji wa bima akiingiza code za kituo ataona huduma za kituo husika kulinganana aina ya bima.
4. kwa watumiaji wa simu Janja wanaweza ku scan QR code au kuingiza CODE za kituo cha Afya katika mfumo wa online.
5. Mtumiaji atachagua Huduma anayo hitaji.
6.Baada tu ya kuchagua Ujumbe utaenda moja kwa moja kwa mtoa huduma.
7.Mgonjwa/ Mtumiaji wa Bima atapokea Nywila maalu ya Kudhibitisha kuwa amepata huduma.
8.Akisha pata huduma atampatia Mtoa huduma Nyimwila hiyo na kama hajapata Huduma itabaki inasybiri(Pending)hivyo Wahusika wanaweza kufwatilia sababu ni nini.
9. kama kutakuwa na Huduma ambayo huikuidhinishwa(confirmation) itaonekana kwenye mfumo kituo husika watatakiwa kutoa sababu au Maelezo.

Huduma ya bima ya Afya kidijitali (Digital health insurance service)
-Mtumiaji wa Bima ataweza kupata huduma ya Daktari kama ushauri na mambo mengine kwa njia hii.
-kwa kutumia Kodi mtumiaji ataweza kuomba huduma moja kwa moja kwa kutumia kodi ya kituo ambayo itafwatia kodi maalumu itakyo tumwa ili adhibitishe.
- hii itafanya watumiaji wa bima wapate huduma wakiwa popote.

Mwisho, wazo hili ni nzuri sana kwani linahitaji rasilimali kidogo sana na zinazopatikana. Naamini kwa kuangalia Masilahi mapana ya jamii ya Tanzania wazo hili litafanyiwa kazi. Nimeandika wazo hili nikilenga uboreshaji wa huduma ya Bima ya Afya kwa Maendeleo ya taifa.
-Naamini tunaweza kushirikiana zaidi kuboresha wazo ili kuwa na ufanisi zaidi.
- Naamini wazo hili litafika ngazi husika ili lifanyiwe kazi.
-Naamini vijana wenzangu wanamawazo mengi na mazuri sana hivyo naomba tuungane kwa mawazo hayo ili kuijenga Tanzania tuitakayo.
Nipo tayari kutoa ushirikiano wa uwakika katika kuendeleza na kuwezesha ufanikishaji wa wazo hili.
Chapisho hili ni zuri Kwa maendeleo ya Mfumo wa bima ya Afya.
 
Ni kweli, kwa sasa nchi INA

Ni kweli, tuna wataalam wengi wa TEHAMA, wakitumika vyema, huduma nyingi zitarahisishwa, na hivyo kuharakisha maendeleo.
 
Back
Top Bottom