SoC04 Tanzania tuitakayo yenye asali na maziwa itakayokuwa ya neema kwetu watoto wetu na wajukuu zetu

SoC04 Tanzania tuitakayo yenye asali na maziwa itakayokuwa ya neema kwetu watoto wetu na wajukuu zetu

Tanzania Tuitakayo competition threads

Davies S

New Member
Joined
May 2, 2024
Posts
1
Reaction score
0
1. Kama tunaitaji kusonga mbele kimaendele, Yani maendeleo ya inchi nikimanisha miundombinu ,afya ,ajila mawasiliano na maendeleo ya mtu moja moja tunaitaji wawakilishi wetu bungeni wawe ni watu wenye elimu kuanzia degree na kuendelea tunataka watu wanaoweza kuangalia mambo kwa upana wanao weza kuchangia hoja zenye tija kwa taifa letu sio watu wanao kalia ushabiki na uchawa ili waendelee kubaki kwenye nafasi zao lakini wamekua wachangiaji wakubwa wanao tuumiza sisi wananchi kwa ushabiki wao kwenye mambo ambayo hata ayakutakiwa kushabikia .

2. Maendeleo ya nchi ni watu kama serikarili yetu itafumbia macho kuona nguvu kazi inapungua hatuta ipata Tanzania tunayo itaka kwa miaka 10 -15 ijayo nitafafanua

i. Serikali imeruhusu michezo ya kubahatisha amabo imekua ni sehemu kubwa ya kuaribu maisha ya vijana amabo ninguvu kazi ya leo na kesho vijana wanashindwa kufikiria namuna ya kutumia akili zao kujitafutia kipato wameishia kwenye michezo ya kubahatisha wanapoteza muda ,wanapoteza ela , selikari tumewachia wawekezaji wa michezo ya kubahatisha ambao wengi ni wakutoka nje ya inchi waumize vijana wetu ambao ndio nguvu kazi ya serikali yetu kwa maoni yangu ili tusonge mbele kimaendelo kama ichi vitu moja wapo vya kuvizuia kama inchi ni kuzuia michenzo ya kubahatisha tunapoteza vijana wetu wakiwa bado wadogo sana

3. Serikali iongeze nguvu kupambana na madawa ya kulevya ambayo yamekua ni sehemu kubwa pia ya kuharibu vijana ambao ndio taifa la kesho .

5. Serikali iongeze juudi kuboresha elimu hasa elimu ya kibiasha kimataifa vijana wajifunze kufanya biashara kimataifa tutoke inje ya inchi tuwauzie bidhaa zetu kama wanavyo fanya wezetu tutafute masoko ya bidhaa zetu
 
Upvote 4
Back
Top Bottom