DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,392
- 2,599
Soma vizuri swali nambari 4.Tujitoe jumuia ya madola halafu Tujunge francophone?
Pumba tupu- Habari za muda huu wana jamii wenzangu , natumai ni njema.
- Nilikuwa na dukuduku kuhusu uwepo wa taifa letu la Tanzania jumuiya ya madola , dukuduku langu limezaa maswali kadhaa yenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu wana jamii wenzangu.
1. Kwa nini taifa la Tanzania lipo jumuiya ya madola ?
2. Ni faida zipi tunapata kuhusu uwepo wetu jumuiya ya madola ?
3. Ni hasara zipi tutapata endapo hatupo jumuiya ya madola ?
4. Tukipima katika mizania faida na hasara za jumuiya ya madola kwetu kipi kitakuwa ni bora kwetu Tanzania kuendelea kuwepo katika jumuiya ya madola au tujitoe na kuendeleza maisha yetu ya kawaida kama taifa nje ya jumuiya ya madola ?
5. Kwa nini taifa la U.S.A na Hongkong [ China ] hayapo jumuiya ya madola ?
6. Je inawezekana kwa njia ya amani member wa jumuiya ya madola akitaka kutoka naye akaruhusiwa kufanya hivyo ?
View attachment 2353028
N.b: Karibuni wadau mwenye swali pia anaweza kuongeza swali lake.
Kwa nini ?Pumba tupu
Ningependa unipatie majawabu ya maswali niliyo uliza .Mjitoe mkamuliwe tozo Hadi ya kupumua.
Sawa.Aliyetutoka angejitutumua. Tuliye naye anatokea sehemu wanaoamini kwamba mdhungu na Mwarabu ndo wenye uwezo wa kutumia rasilimali za Mwafrika ila Mwafrika mwenyewe hawezi kujiendeleza kwa kutumia rasilimali zake.
Swali zuri la nyongeza [7].Hivi mkuu mfano tukijitoa jumuiya ya madola itachangia kuleta mageuzi ya kisiasa,kijamii, kiuchumi pamoja na sayansi na Teknolojia?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa nini ?Kujitoa jumuuya ya madola ni kujitakia laana
Yasome vizuri maswali yangu 6 yameligusia pia hilo swali lako . ambalo natumai majawabu yake tutapata kutoka kwa wadau wa humu Jf.Tutajie hasara tuna Zapata kwa kuwa member ndio tuanze kujadili
By extrapolation, tujitoe pia kwenye SADC, EAC, na UN kwani huoni faida yoyote ya kuwa mwanachama kwenye jumuia yoyote ya kimataifa.Kwa nini ?
Katiba imetungwa 1977, Harakati za kudai uhuru zilianza toka utawala wa Ujerumani Chifu Abushiri, Mkwawa , Kinjekitile n.k awamu ya pili chini ya mkoloni muingereza baada ya vita vya pili vya dunia 1939-1945 harakati za kudai Uhuru zikarudi tena miaka ya 1950 s. 1953 TAA, 1954 TANU Mwalimu , Bibi Titi Mohammed, Abdulhman sykes n.k wakalianzisha varangati la kumng'ang'niza mkoloni muingereza awape uhuru, Mwalimu akawekwa rumande kwa kosa la kujihusisha na siasa wakati wa ukoloni hasa hasa siasa za harakati za ukombozi wa Tanganyika kitu kilicho kuwa kimepigwa marufuku na mkoloni muingereza . 1961 tukapata Uhuru wa masharti/Uhuru wa bendera. Ningependa ujibu maswali yangu niliyo uliza.♦️ Kuanzia katiba tuliyo nayo nasheia zoye tunazotumia zimetungwa na huyo MADOLA ambaye leo hauoni umuhimu wake
♦️ Ndiye huyo huyo madola alitotoa kwwnye ukoloni na alitulea na kutufunza mpaka tukapata uzoefu akatukabidhi nchi yetu kwa amani
Hujajibu swali; kumwambia mtu asome tena post yako huku alishaisoma na akakuta pumba tupu ni kutwanga maji ndani ya kinu. Kama unadhani ni vizuri kujitoa kwenye Jumuia ya madola weka sababu za msingi kujadiliwa siyo kuandika vijiswali visivyokuwa na mkia wala miguu.Yasome vizuri maswali yangu 6 yameligusia pia hilo swali lako . ambalo natumai majawabu yake tutapata kutoka kwa wadau wa humu Jf.