Tanzania tulimkataa Mkenye kuwa Mkurugenzi wa Vodacom lakini tukaruhusu Egyptian!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Watu weusi wengi tuna jichukia/self hate. Serikali ilimkataa Mkenya kuwa CEO wa Vodacom Tanzania kwa kisingizio tunahitaji mkurugenzi Mtanzania. Cha kushangaza mkurugenzi wa Voda Tanzania sio Mtanzania ni Egyptian. Sasa ni kwanini tumkatalie Mkenya lakini tumruhusu Egyptian!!. Hata wataalamu ambao ni diaspora wanapa shida sana marehemu Dr Masau aliyefariki alizenguliwa kwasababu tu alitaka kufungua hospitali ya moyo ya kwanza na madaktari wa muhimbili walimwonea wivu. Dr James Mataragio wa TPDC aliletewa majungu kwa miaka miwili na wataalamu ambao ni diaspora walikwamishwa kwa fitna tu wakati serikali ilikuwa haina watu wa kutosha kwenye Director level ambao wana uzoefu.

Mpaka sasa kuna Watanzania hawapendi Watanzania wenzao na kuwaita wasaliti wakati hao wanaowaita mabeberu wakija Tanzania wanapokelewa kama wafalme ! Yaani kuliko kumpa Mkenya au Mganda au diaspora ni bora waweke mwarabu au mzungu!! na kuacha watu wenye ujuzi zaidi. Hebu jiulizeni wakati serikali miaka ile ikinyima diaspora haki zao wakati huo huo walikuwa wana toa vibali vya Watanzania madada kufanya kazi za housegirl huko Uarabuni! wakati wale ambao ni VP, madakrati, engineers wakipuuzwa!

Hisham Hendi

DAR ES SALAAM, April 3 (Xinhua) -- Vodacom Tanzania's managing director Hisham Hendi, an Egyptian national, and four other people on Wednesday appeared in court charged with committing economic sabotage-related crimes.Apr 3, 2019

DAR ES SALAAM, Sept 28 (Reuters) - Vodacom Tanzania said on Friday the government had denied its incoming chief executive officer, a Kenyan, a work permit, and it would have to restart the recruitment process.

In April, Vodacom Tanzania named Sylvia Mulinge, at the time head of business at Kenya’s biggest telecoms operator Safaricom to the post. She was meant to take up her position on June 1.

“Vodacom Tanzania can confirm that it has received notice from the Labour Commissioner declining a work permit application for Sylvia Mulinge as CEO of Vodacom Tanzania,” it said in a statement.

Ali Mufuruki, Vodacom Tanzania’s Chairman, told Reuters the company had been given reasons by the government, but it cannot disclosed them. Mufuruki said it was up to the Tanzanian government to give the reasons.

The government has been accused by investors of delaying or rejecting work permits for foreign workers, complicating their operations.

Tanzania’s privately-owned Citizen newspaper reported on Friday that Kenya and Tanzania are embroiled in a trade dispute, with each side imposing tariffs on each other’s goods including sugar, flour and ice cream.

They are both members of regional trade bloc East African Community, which is aimed at promoting free movement of goods and services among its members, who also include Burundi, Uganda, Rwanda and South Sudan.

ADVERTISEMENT

Vodacom, which did not give reasons for why the permit was denied, said it had appointed Hisham Hendi as its acting chief executive officer in the meantime.

“Vodacom Tanzania will now recommence the search for a suitable replacement and remains fully committed to identifying a candidate that will not only inspire confidence in investors but also have the requisite governance capability as CEO of a listed company.”

Mulinge, who had been at Safaricom since 2006, was to replace Ian Ferrao who joined Vodacom Tanzania three years ago and decided not to renew his contract with the company.

Ferrao led the company through a $213 million initial public offering last August, Tanzania’s largest ever, which attracted more than 40,000 local investors, most of whom were first-time participants in the country’s stock market.

Foreigners, initially banned from participating, bought 40 per cent of the shares.

The move was part of a government directive for mobile companies to list a minimum 25 percent stake at the local Dar es Salaam Stock Exchange.

ADVERTISEMENT
 
Mkenyi

Huyo mkenya tuliyepiga chini alifanyiwa vetting wakagundua ni KACHERO mbobezi wa usalama wa kenya
 
Halafi huyo Egyptian ameleta mpaka vifurushi vya Islamic offer sijui maana take in ipi..
 
Usilojua ni kwamba Hisham alikuwa ni mmoja wa wasaidizi wa aliyeondoka. Hivyo tayari alikuwa katika system za Voda na hivyo alikuwa just promoted. Huyo mkenya alikuwa ni mpya kabisa na kulikuwa na dalili za kuhujumiwa, ukizingatia hatuna historia nzuri kwa makampuni ya nchini yaliyoongozwa na wakenya. Serikali haiwezi kurisk kuanguka kwa Vodacom kwani itapoteza pakubwa kwa wanancchi wake na yeye yenyewe. Kuanzia watanzania waliojiajiri kupitia uwakala wa Mpesa, wafanyakazi, contractors wanaofanya kazi na Vodacom, kodi za excise, VAT, cooperate nk. Kifupi vodacom ni too giant to fall.

Kwa uchache ni hilo tuu.
 
Back
Top Bottom