johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna wakati dhana nzima ya Nchi kuwa Huru inachanganya sana.
Hivi Watanzania tulidai Uhuru tukiwa na malengo gani hasa mahsusi.
Chukulia mfano wa Tundu Lisu na Lema hawa ni Viongozi wakubwa wa Chadema lakini familia zao zinaishi Marekani na Canada.
Hata CCM ina Watu wengi wa namna hiyo mfano Le mutuz japo aliamua kurejea nyumbani baadae
Mkuu Mohamed Said mlipomwalika Nyerere aje asaidie harakati zenu za kudai Uhuru lengo lenu lilikuwa ni nini hasa?
Nimekaa palee kujifunza
cc: Mohamed Said