johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😂uhuru ulipiganiwa na watoto wa mzizima kila siku mzee saidi anawaeleza ila mtu mmoja toka msoma baada kupewa rungu ndio leo ccm inatufanya tusiwe na fikra
Kwahiyo kundi lingine ambalo ni kubwa haliko Huru?Uhuru wa wahuni /kundi dogo wa watu wahuni kuwatawala wengine kwa manufaa yao na wanaowahusu