figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Yes ni kweli kabisa,Watanza walitamani kuwa na kiongozi bora anaye thamini uhai wa watu, ila wakampata Samia
Walitamani mtu wa kuwatoa kwenye Wimbi la umasikini, wakampata Samia
Walitamani kiongozi wa kuwaunganisha kama Taifa wakampa Samia.
Samia mwenyewe tena wa kupachikwa kwa bandeji na genge linalotafuuna Nchi.
Nchi yetu Tanzania Mungu ataisaidia ipo Siku itapata Rais asiye Samia
Ndo malengo ya Samia ya kunyamazisha watu. Ila hatafanikiwa kamweNaomba Allah anifundishe kunyamaza Subhanallah....π
Kiongozi bora ambaye atasikiliza malalamiko ya wananchi bila kujali ni wa upande gani, bila kujali idadi ya walalamikaji, atakayethamini utu,haki na usawa na kuhakikisha kuwa wananchi hawabaguliwi katika nchi yao.Yes ni kweli kabisa,
Tanzania ilihitaji kiongozi bora , na Mwenyezi Mungu akatupatia kiongozi bora zaidi, madhubuti zaidi, mchapakazi na mwenye bidii zaidi na asiechoka wala kuyumba katika nafasi yake ya utumishi wa umma Tanzania
God bless Dr Samia Suluhu Hassan π₯
Dr.Samia Suluhu Hassan anasikiliza na kutekeleza matakwa ya wananchi wake na anazingatia kikamilifu katiba ya Tanzania kwa 100%Kiongozi bora ambaye atasikiliza malalamiko ya wananchi bila kujali ni wa upande gani, bila kujali idadi ya walalamikaji, atakayethamini utu,haki na usawa na kuhakikisha kuwa wananchi hawabaguliwi katika nchi yao.
Ambaye hatotumia fedha za umma kuwalipa watu ili wamsifie(machawa).
Polepole tu tutapata rais mzuri na chama kizuri cha kuongoza nchi yetu, hawa waache wapite tu.Watanza walitamani kuwa na kiongozi bora anaye thamini uhai wa watu, ila wakampata Samia
Walitamani mtu wa kuwatoa kwenye Wimbi la umasikini, wakampata Samia
Walitamani kiongozi wa kuwaunganisha kama Taifa wakampa Samia.
Samia mwenyewe tena wa kupachikwa kwa bandeji na genge linalotafuuna Nchi.
Nchi yetu Tanzania Mungu ataisaidia ipo Siku itapata Rais asiye Samia
Yes ni kweli kabisa,
Tanzania ilihitaji kiongozi bora , na Mwenyezi Mungu akatupatia kiongozi bora zaidi, madhubuti zaidi, mchapakazi na mwenye bidii zaidi na asiechoka wala kuyumba katika nafasi yake ya utumishi wa umma Tanzania
God bless Dr Samia Suluhu Hassan π₯
SahihiNi Tanganyika sio Tanzania
useless πNi Tanganyika sio Tanzania
We mtoto wa juzi nyamaz kimya usishindane na wazee wako.Dr.Samia Suluhu Hassan anasikiliza na kutekeleza matakwa ya wananchi wake na anazingatia kikamilifu katiba ya Tanzania kwa 100%
Kwa mfano,
wananchi walidai marufuku ya mikutano ya hadhara iondolewe na Dr Samia Suluhu Hassan akaiondoa, wananchi waliomba waliotoroka nchi warejeshwe nchini Dr.Samia Suluhu Hassan akawatejesha wote, wananchi walitaka wakurugenzi wa halmashauri wasisimamie uchaguzi Dr Samia Suluhu Hassan akawasikiliza na kuwaondoa watu hao kusimamia uchaguzi, wafungwa magerezani waliomba wawe wanapiga kura, Dr.Samia Suluhu Hassan akawasikiliza na kuruhusu jambo hilo, wanafunzi vyuo vikuu waliomba mikopo na sasa wote wanapata mikopo hiyo.
Kiujumla,
tumepata Rais ambae akiahidi kitu kwa maneno, basi anatekeleza kwa vitendo kwa muda muafaka kabisa.
So,
nchi imepata kiongozi bora ambae kwakweli inafaa kama taifa kumshukuru Mungu sana kwa zawadi hii ya kipekee.
hizo zingine ni porojo zako binafsi gentleman, π
Mungu Ibariki Tanzania
jikite kwenye hoja mahususi bila kuweweseka ndugu mdau,We mtoto wa juzi nyamaz kimya usishindane na wazee wako.
Alitakiwa afanye kazi za kulima MwaniSamia sio kiongozi.
Naam au uhudumu kwenye ndege kama alivyokua anatamani.Alitakiwa afanye kazi za kulima Mwani
Mungu ni wetu sotePolepole tu tutapata rais mzuri na chama kizuri cha kuongoza nchi yetu, hawa waache wapite tu.
Naona unarudia rudia kuandika neno Dr Dr Dr, huo u Dr aliusomea chuo kipi?Dr.Samia Suluhu Hassan anasikiliza na kutekeleza matakwa ya wananchi wake na anazingatia kikamilifu katiba ya Tanzania kwa 100%
Kwa mfano,
wananchi walidai marufuku ya mikutano ya hadhara iondolewe na Dr Samia Suluhu Hassan akaiondoa, wananchi waliomba waliotoroka nchi warejeshwe nchini Dr.Samia Suluhu Hassan akawatejesha wote, wananchi walitaka wakurugenzi wa halmashauri wasisimamie uchaguzi Dr Samia Suluhu Hassan akawasikiliza na kuwaondoa watu hao kusimamia uchaguzi, wafungwa magerezani waliomba wawe wanapiga kura, Dr.Samia Suluhu Hassan akawasikiliza na kuruhusu jambo hilo, wanafunzi vyuo vikuu waliomba mikopo na sasa wote wanapata mikopo hiyo.
Kiujumla,
tumepata Rais ambae akiahidi kitu kwa maneno, basi anatekeleza kwa vitendo kwa muda muafaka kabisa.
So,
nchi imepata kiongozi bora ambae kwakweli inafaa kama taifa kumshukuru Mungu sana kwa zawadi hii ya kipekee.
hizo zingine ni porojo zako binafsi gentleman, π
Mungu Ibariki Tanzania
Dr.Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa viongozi na wakuu wa nchi bora zaidi Africa gentleman,Naona unarudia rudia kuandika neno Dr Dr Dr, huo u Dr aliusomea chuo kipi?
Kwa akili ipi aliyonayo??.
Form 4 yenyewe alisema kwa mdomo wake kwamba alifeli!.