Kenya wapo ndani, Rwanda wapo ndani, sisi tuko nje tunajitafutia kwa nini tupewe. Tusipende vyote kwa wakati mmoja.Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Hivi kuna kipi cha kufikirisha hapa?
Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Nani aliyemvimbia mmarekani? You may sell your soul to them at your own peril. But remember, they don't have permanent friend or enemy. They just have permanent interest for their own nation.dunia hii huwezi kumvimbia mmarekani. tuache mihemko. tunawapotosha watanzania maskini.
kuongea lugha yao tu tayari usha ‘sell your soul to them at your own peril’. huna hoja.Nani aliyemvimbia mmarekani? You may sell your soul to them at your own peril. But remember, they don't have permanent friend or enemy. They just have permanent interest for their own nation.
Dollar 37 million igawanywe kwa nchi zote hilo kweli?
Ndio maana Kiduku Lilo anawatukanagaUnataka kila siku uwe nchi masikini?
Yaani unalalamika kukosa msaada wa kimaskini!! Kuna watanzania ni nyumbu watembeao na miguu miwili.
Mmezuia wizi wa madini kwa wao na binamu zao Canada kwa manufaa mapana ya nchiMarekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Probably you are correct..probably notkuongea lugha yao tu tayari usha ‘sell your soul to them at your own peril’. huna hoja.
katika dunia hii tunayoaswa kusaidiana wakati wa shida na raha hata katika maisha ya kawaida tu. unahitaji zaidi kuwa na uhusiano na nchi kama amerika.Probably you are correct..probably not
Pesa yenyewe hiyo ndogo tuMarekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
TB mnatibiwa bure kwa fedha zao, Dawa za ukimwi mnapewa bure zimelipiwa na wao. Dawa za maralia mnanunua kwa nusu bei, mnajua nani analipia nusu iliyobaki? Safari hii mwambieni rafiki yenu mchina awasaidie