Ndio yeye mkuu, sasa inashangaza anavyolilia tena hiyo grant??sema tu umefurahi sana, we si ndo ulikuwa ukitaka Korona iingie Tz, au umebadilisha kauli yako ya mwanzo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P
Kama mtu hataki Urafiki na wewe mpaka mke wako awe mke wake, utalazimisha?katika dunia hii tunayoaswa kusaidiana wakati wa shida na raha hata katika maisha ya kawaida tu. unahitaji zaidi kuwa na uhusiano na nchi kama amerika.
Hahaha wakitunyima huwa tunamaneno sisi wabongo....wabongo sio watanzania,hapa naomba nieleweke.Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P
Meko anagundu toka ajulikane hela za misaada anapeleka kujengea kwao.ndio machungu tunapewa sisiMarekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Tatizo sia Tanzania, tatizo ni siasa za Trump, tuwe na amani, atamaliza tu utawala wake. Kisa tuna mahusiano mazuri na China.Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Wamarekani hawajawahi kuwa rafiki wa Tanzania toka enzi ya Mwalimu Nyerere. JK ndio pekee alijitahidi kukaa nao karibu.
Wengine sababu ya misimamo, wanaonekana sio rafiki kwa US.
Yote kheri. Baniani mbaya, Kiatu chake dawa
Ndio yeye mkuu, sasa inashangaza anavyolilia tena hiyo grant??
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Tanzania Rafikie ni mchina na marekani hapendi wajamaaMarekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Dah...wanajua ...miaka 30 ijayo tutakuwa nao sambamba kiuchumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
na kazipa nchi maskini 25 inawezekana wana taria kuwa tunajitoshelezaKenya wapo ndani, Rwanda wapo ndani, sisi tuko nje tunajitafutia kwa nini tupewe. Tusipende vyote kwa wakati mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
..John Kennedy na Jimmy Carter walikuwa marafiki wa Mwalimu Nyerere kiasi cha kumpa heshima ya state visit.
..pia tulipopatwa na janga la njaa miaka ya 70 Marekani walitupa msaada wa chakula.
..mahusiano ya Tz na USA hayajawahi kuwa mabaya isipokuwa kwa kipindi kifupi miaka ya 60 ambapo tuliwahi kufukuziana wanadiplomasia wetu.