Tanzania tumeikosea nini Marekani?

Msaada upewe na USA halafu Kura umpe China!! Mwambie mchina akupe.
THis is called biting the hand which feeds you= kuuma meno mkono unaokulisha
 
Mbona Wenyewe wameshindwa kujisaidia, achana na akili za Kiumatonya fanya Kazi na Chukua tahadhali ya Covid-19 kwa kufuata maelekezo ya wataalam wa Afya.
 
Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P
Hivi wangetupatia hizo pesa, bado tungesema ni vimsaada mbuzi? Bado tungesema zinanuka damu?
Haya siyo maneno ya mkosaji?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ofisi za Ufipa ziliwekewa karantini baada ya mtoto wa Mwenyekiti kukutwa na Corona?

Tujikinge na Corona Sisi wenyewe kwanza kwani hata USA wenyewe sasa hivi hawajuwi wafanye nini, Vifo vya Corona kwao vinaongezeka kwa kasi sana.
 
Tanzania hatu hitaji huo msaada, Mgufuli alisha chukua hatua mapema kudhiti huo ugonjwa.
 
Hivi ofisi za Ufipa ziliwekewa karantini baada ya mtoto wa Mwenyekiti kukutwa na Corona?

Tujikinge na Corona Sisi wenyewe kwanza kwani hata USA wenyewe sasa hivi hawajuwi wafanye nini, Vifo vya Corona kwao vinaongezeka kwa kasi sana.
Ati kwao vinaongezeka kwa kasi sana. Leo Tanzania 94, two weeks ago was ZERO, hiyo siyo kasi? Elewa kwetu huku upimaji ni ule wa mtu kwenda hospitali! Have you imagined in two weeks time what is going to happen?
 
Inawezekana wanawapa wale wenye LIUGONJWA na si wenye KAUGONJWA...
 
Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P
Kaka Paskali, hapa umechemka..!!!
Zitto alipoandika ile barua, kauli za viongozi unazikumbuka..!?
 
Wewe si ndie uliyeleta uzi humu ukitamani corona iingie nchini? Sasa unalialia nn? Tulia dawa ipenye! Na Mimi naomba isikose kukutembelea na familia yako
 
Sisi tumechangishana matajiri wetu mpaka sasa tuna bilioni sita na ushee
Hakuna haja ya kulilia bilioni moja ya USAID
 
Mnaosema kuwa tunapaswa kujivunia kutokuwa watu wa kusaidiwa, mnajua kuwa hadi sasa tunahitaji dola milioni 197 kupambana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya COVID19,barua ya kuomba msaada ilishaenda mezani kwa IMF.
Tusijazane ujinga, tunahitaji misaada sana, hii pesa ya US tungeweza kuongeza vifaa kama vile alivyochangia Rostam. Tuache huu upupu wa MATAGA kuwa we a donor country, Mzee alikuja na fallacy tu, sisi ni masikini sana.
 
Kama wewe ni Mwanaume basi ni aibu kwa Ukoo wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisikiaga eti proposal yetu haikukidhi vigezo vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…