Tanzania tumeikosea nini Marekani?

Marekani hawataniwi, wao wanachukulia kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P
Whata about chinese money aka corona money?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini mnapenda misaada . Hii madaa inanikera sana. This is why other continents wanaitharau sana afrika
 
Wasiwasi hao pesa zitaangukia mikononi mwa influence ya makonda ambaye ni more or less wanted in the USA secret courts.
 
Ni IMF au USA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think IMF imetoa msaada to those countries because zimefunga business na mambo katika hizo nchi haya function . Tanzania we still active people still conduct business though we don't make much but inatusogeza
 
Mkuu ameshasema msaada wetu unatoka juu mbinguni kwa Mungu, sasa huo wa duniani kutoka kwa jirani wa nini?
 
Rais wako ana chuki ya wazi na Marekani, huwa anawaita mabeberu na kwamba hana shida hata ya kwenda kwao yeye ni Tajiri, halafu anawaita wezi, maneno yote yanawafikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…