Abdul Mohammed
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,331
- 855
August 7, 1998 Tarehe ambayo kila Mtanzania anaikumbuka hiyo siku kwa mara ya kwanza Tanzania imeshambuliwa na ma-terrorist katika ubalozi wa Marekani.
Swali ambalo tunatakiwa kujiuliza je Tanzania ilijifunza nini katika tukio hilo?. Je tunacho kikosi cha kupambana na Magaidi (anti-terror squad). Yasije kutokea mambo yanaotokea Kenya yakaja kutokea kwetu Tanzania, kwa ufinyu wa viongozi wetu watataka kulipeleka jeshi kama tupo vitani badala ya kupeleka watu waliofunzwa kwa ajili ya mambo ya ugaidi.
Kenya haina Kikosi cha kupambana na ugaidi na hata kama kipo basi bado hakina mafunzo ya kupambana na ugaidi na hata hapa Tanzania ni hivyo hivyo.
Tumeshindwa kuwatakama wamwagiaji tindikali na wauaji huko Znanibar na Tanganyika mpaka tunawaleta FBI na wachina kuja kufanya uchunguzi wa kesi ndogo ndogo je tutaweza kufuatilia nyendo za magaidi?
Ikiwa tunashindwa kupambana rushwa, wamwagiaji tindikali na warusha mabomu kwenye mikutano je tutaweza kupambana na ma- terrorist?