Tanzania tumepata Uhuru au Tumerithi?

Tanzania tumepata Uhuru au Tumerithi?

Joined
Jun 26, 2015
Posts
55
Reaction score
62
Tanzania na nchi nyingi za Afrika, tumepata Uhuru au tumepata Urithi?

Nasema tumerithi, kwasababu hatujarudi katika njia nzetu kabla ya kutawaliwa. Tumeendelea na mifumo yote alioiweka mnyonyaji. Tumerithi kwanzia utamaduni hadi mifumo ya utawala.

Viongozi wetu wamekuwa wanyonyaji, kama mfumo waliourithi.

Pengine hata hatujarithi kitu, labda tunasimamia mifumo yao hao wanyonyaji. Siku tukiacha kwenda kama wao kwenye kila kitu ndipo tutakua huru.
 
Back
Top Bottom