The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Acha nongwa mama wa watu kachezesha vizuri sana leoUkisikia penye miti hakuna wajenzi ndo hii ligi yetu ya bongo. Sijui marefa wamesomea wapi?
Sishangai sana maana hata mechi za.kimataifa huwa hawaitwi. Ni ueledi mdogo..milungura au huwa wanchezesha kwa maelekezo kutoka juu?
Tukubamali ligi yetu ina matatizo makubwa sana upande wa referees. Kama nao wangekuwa wanasajiliwa basi TFF wangefanya hivyo ili haki itendeke uwanjani.
Ni kweli maana yanga ilikuwa apigwe ndani ya dk 90 kwa clear penalty 2 ambazo mwamuzi aliamua kuwabeba.Sisi hatumlaumu hata hivyo maana tulitaka tuwafunge kwa pasi.Ukisikia penye miti hakuna wajenzi ndo hii ligi yetu ya bongo. Sijui marefa wamesomea wapi?
Sishangai sana maana hata mechi za.kimataifa huwa hawaitwi. Ni ueledi mdogo..milungura au huwa wanchezesha kwa maelekezo kutoka juu?
Tukubamali ligi yetu ina matatizo makubwa sana upande wa referees. Kama nao wangekuwa wanasajiliwa basi TFF wangefanya hivyo ili haki itendeke uwanjani.
Hakuna sehemu nimetaja timu. Tujadili ligi na maboresho yanayotakiwa...Huu ni Mwanzo tu.......
Lawama FC is back..... Mtalaumu sana Mwaka huu
Refa wa mchongo Kama wa Jana kwa yanga, Simba.Hakuna sehemu nimetaja timu. Tujadili ligi na maboresho yanayotakiwa...
Siyo simba na yanga tu. Kiufupi timu zote ligi kuu bara zinaonewa na marefa wa hovyo.
Watanganyika ndo tulivyo mambo ya msingi huwa hatutilii maanani. ligi yetu haina marefa kabisaMada yako ni nzuri na ina ukweli mkubwa tatizo muda ulioileta itajadiliwa kimahaba zaidi.[emoji848]