Tanzania tuna utaratibu wa kuangalia networth?

Tanzania tuna utaratibu wa kuangalia networth?

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
5,565
Reaction score
843
Kwa wenzetu kwenye nchi zilizo endelea kuna utaratibu wa kujua thamani ya assets za mtu binafsi na makapuni. Hii ndiyo maana wenzetu wanaweza kuorodhesha watu au mashirika yenye pesa zaidi. Je kwa Tanzania tuna utaratibu wa kujua mtu binafsi au shirika ina assets za kiasi gani? Nadhani tungeweza kufanya hivyo tungeweza kuona jinsi watanzania na Tanzania ilivyo tajiri(aidha kwa uhalali au la).
 
Je tunayo orodha ya makampuni makubwa 100 hapa Tanzania? Hii itatupa kigezo cha kutengeneza orodha ya matajiri wa Kitanzania.Ila nijuavyo ni kwamba utajiri mkubwa wetu bado umelala (latent). Na yule anayeonekana tajiri sana, bado yuko mbali sana na matajiri wa Dunia. Tujipe moyo kwani Africa ya Kusini, Misri, Sudan na Nigeria sasa wako kwenye orodha ya matajiri wa dunia.
 
Back
Top Bottom