Nadhani jamaa alimaanisha ndiyo Lowassa huwa anafanya hivyo, tuache habari yake ya ufisadi MSISIMKO WA KUWA AZIRI MKUU YUPO LIVE LOWASSA ALIUONYESHA KULIKO MTOTO WA MKULIMA. Tungepata PM clean ambaye angekuwa na vitabia 'vizuri' vya Lowasa au Mrema ngau nchi inapendeza.
Style hii ya kuwawajibisha watu hapohapo Lowasa anayo, whether it is effective or not that is another issue.
Putin naye siyo kiongozi mzuri kihivyo, Demokrasi imerudi nyuma kidogo huko kulinganisha na enzi za Yeltsin. Magavana siku hizi wanateuliwa kama Bongo wakuu wa mikoa wanavyoteuliwa, zamani walikuwa wanachaguliwa[i stand to be corrected]. Waandishi wanauawa na wapinzani kuwekewa sumu. Uchumi wao pia umekua si kwa kwa ajili ya uongozi wa Putin bali bei nzuri ya mafuta.