Tanzania tunakwama wapi? Hivi vitunguu vinatoka Kenya

Tanzania tunakwama wapi? Hivi vitunguu vinatoka Kenya

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Hata kama wanachukua vya kule Mang'oea na kufanya repacking bado tu ni kwamba ni wana akili, mbona sisi tunashindwa kufanya hio packing? Wakenya wanauza vitu vingi sana kwetu na vingine huwa wanachukue kwetu wana repack na kutuuzia tena.

IMG_20220330_112026.jpg

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa ishu ya package kwasoko la kimataifa tatizo ni mtaji

Ishu ni mtaji. Packing inataka pesa nyingi ili upate vyeti vya kimataifa ili uweze kuuza soko la kimataifa la EU, USA, Uarabuni.

Shida ni hela rough estimate si chini ya $250,000.
 
Hio packaging mbona ya kawaida sana na still wanauza kwetu?
 
Kama ni kweli ni repacking imefanyikia KNY sio mbaya nasi tukajifunza kutoka kwao maana sidhani kama hili linashindikana hapa kwetu kuliko kuendelea kushangaa na wakati hiyo ni fursa.
 
Inategemea na soko lako,

Sasa anaeuza kwenye meza/gengeni atapata wateja kwa kuuza kwa package!?,Ambao ni zaidi 90% ya soko.

Kwa tz package ni anasa!
 
Inategemea na soko lako,

Sasa anaeuza kwenye meza/gengeni atapata wateja kwa kuuza kwa package!?,Ambao ni zaidi 90% ya soko.

Kwa tz package ni anasa!
Hivi unaelewa kweli? Hivyo vitunguu nilivikuta kwenye Super Market ya Tanzania, nazani sasa umelewa mkuu
 
Kama ni kweli ni repacking imefanyikia KNY sio mbaya nasi tukajifunza kutoka kwao maana sidhani kama hili linashindikana hapa kwetu kuliko kuendelea kushangaa na wakati hiyo ni fursa.
Ni aibu kubwa sana, eti tukajifunze, tujifunze packiging au tujifinze ufanyaji wa biashara?
 
Hata kama wanachukua vya kule Mang'oea na kufanya repacking bado tu ni kwamba ni wana akili, mbona sisi tunashindwa kufanya hio packing? Wakenya wanauza vitu vingi sana kwetu na vingine huwa wanachukue kwetu wana repack na kutuuzia tena.

View attachment 2169619

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
sisi hatujui hata kufanya grading na kuongeza dhamani ya mazao yetu. wakenya wananunua vitunguu vyetu vikiwa vimegradiwa vizur wanafanyia packaging na kupachika lebo kabisa kitunguu vile vile vilivyotoka huku wanaviexport na kupeleka nchi za uarabuni kwny uhitaji mwingi. kiufupi sisi tunajua kulima tu na kuuza hatujui value addition kwny mazao. hapa ndo tunapofeli ukienda mangola kununua kitunguu shambani gunia la kuuziwa mkenya ni pure quality mkulima anakuambia hii grade one neti ya kenya anamuuzia mkenya. njoo sasa kwetu sisi gunia la neti ya magufuli limechanganya kila aina ya gredi
 
Back
Top Bottom