CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Hio packaging mbona ya kawaida sana na still wanauza kwetu?Kwa ishu ya package kwasoko la kimataifa tatizo ni mtaji
Ishu ni mtaji. Packing inataka pesa nyingi ili upate vyeti vya kimataifa ili uweze kuuza soko la kimataifa la EU, USA, Uarabuni.
Shida ni hela rough estimate si chini ya $250,000.
Hivi unaelewa kweli? Hivyo vitunguu nilivikuta kwenye Super Market ya Tanzania, nazani sasa umelewa mkuuInategemea na soko lako,
Sasa anaeuza kwenye meza/gengeni atapata wateja kwa kuuza kwa package!?,Ambao ni zaidi 90% ya soko.
Kwa tz package ni anasa!
Ni aibu kubwa sana, eti tukajifunze, tujifunze packiging au tujifinze ufanyaji wa biashara?Kama ni kweli ni repacking imefanyikia KNY sio mbaya nasi tukajifunza kutoka kwao maana sidhani kama hili linashindikana hapa kwetu kuliko kuendelea kushangaa na wakati hiyo ni fursa.
Unataka ufafanuliwe kama mtoto !!!??Ni aibu kubwa sana, eti tukajifunze, tujifunze packiging au tujifinze ufanyaji wa biashara?
sisi hatujui hata kufanya grading na kuongeza dhamani ya mazao yetu. wakenya wananunua vitunguu vyetu vikiwa vimegradiwa vizur wanafanyia packaging na kupachika lebo kabisa kitunguu vile vile vilivyotoka huku wanaviexport na kupeleka nchi za uarabuni kwny uhitaji mwingi. kiufupi sisi tunajua kulima tu na kuuza hatujui value addition kwny mazao. hapa ndo tunapofeli ukienda mangola kununua kitunguu shambani gunia la kuuziwa mkenya ni pure quality mkulima anakuambia hii grade one neti ya kenya anamuuzia mkenya. njoo sasa kwetu sisi gunia la neti ya magufuli limechanganya kila aina ya grediHata kama wanachukua vya kule Mang'oea na kufanya repacking bado tu ni kwamba ni wana akili, mbona sisi tunashindwa kufanya hio packing? Wakenya wanauza vitu vingi sana kwetu na vingine huwa wanachukue kwetu wana repack na kutuuzia tena.
View attachment 2169619
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app