Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kabisa mkuu unaweza anzisha kitu hapoKuna mnigeria amekuja Tanzania amesema moja ya vyakua alivyovipenda chips mayai ni kimoja wapo
Kwanini kama nchi tusibrand vyakula kama chips mayai yaani kikafanyiwa maboresho kwenye kupikwa yaani kukawa na standard ya kupika chips mayai
Mfano chips mayai ipikwe kwenye flampeni kubwa na ichanganywe na vitu kama nyama na mboga za majani
Kwanini nasema hivi vyakula mfano wa chips mayai vikiwekewa standard vinaweza itangaza Tanzania na vikavutia watu mfano capuchino na Italian pizza vimechangia kuitangaza sana nchi yao
mawazo yake yaheshimiweKipara unawaza maharisho tu
Una miaka mingapi?Kuna mnigeria amekuja Tanzania amesema moja ya vyakua alivyovipenda chips mayai ni kimoja wapo
Kwanini kama nchi tusibrand vyakula kama chips mayai yaani kikafanyiwa maboresho kwenye kupikwa yaani kukawa na standard ya kupika chips mayai
Mfano chips mayai ipikwe kwenye flampeni kubwa na ichanganywe na vitu kama nyama na mboga za majani
Kwanini nasema hivi vyakula mfano wa chips mayai vikiwekewa standard vinaweza itangaza Tanzania na vikavutia watu mfano capuchino na Italian pizza vimechangia kuitangaza sana nchi yao
Utabrandije chakula cha maskini wa Dar es salaam ?Kuna mnigeria amekuja Tanzania amesema moja ya vyakua alivyovipenda chips mayai ni kimoja wapo
Kwanini kama nchi tusibrand vyakula kama chips mayai yaani kikafanyiwa maboresho kwenye kupikwa yaani kukawa na standard ya kupika chips mayai
Mfano chips mayai ipikwe kwenye flampeni kubwa na ichanganywe na vitu kama nyama na mboga za majani
Kwanini nasema hivi vyakula mfano wa chips mayai vikiwekewa standard vinaweza itangaza Tanzania na vikavutia watu mfano capuchino na Italian pizza vimechangia kuitangaza sana nchi yao
Ni flampeni kama ilivyo madigadi kwenye mud guard ya baisikeli. Au taniboi kwenye turnboy.....ivi ni flampen au frying pan!?
apo nawewe umekosea kdooogo,,sio taniboi tunaita tandiboi hahahaNi flampeni kama ilivyo madigadi kwenye mud guard ya baisikeli. Au taniboi kwenye turn boy.....
Tukizubaa tunawahiwa ila tumezubaa sanaTanzania tumelala sana ngoja nchi jirani waibrand waseme wao ndio wanzilishi
Sikubaliani na hilo ombi lako maana hakuna chakula kibovu kama hiki, hakifai kwa afya hata kidogo na ukweli ni kwamba ndicho kinachovunja nguvu za wanaume wengi na kuwatamanisha kushikishwa ukuta na wenzao.Kuna mnigeria amekuja Tanzania amesema moja ya vyakua alivyovipenda chips mayai ni kimoja wapo
Kwanini kama nchi tusibrand vyakula kama chips mayai yaani kikafanyiwa maboresho kwenye kupikwa yaani kukawa na standard ya kupika chips mayai
Mfano chips mayai ipikwe kwenye flampeni kubwa na ichanganywe na vitu kama nyama na mboga za majani
Kwanini nasema hivi vyakula mfano wa chips mayai vikiwekewa standard vinaweza itangaza Tanzania na vikavutia watu mfano capuchino na Italian pizza vimechangia kuitangaza sana nchi yao
Sio kweli nilikuwaga na waspain hawajui hata chips mayaiMheshimiwa Rais
Huo ni msosi asili yake nchi ya Spain tokea enzi na enzi
Tutafunguliwa kesi mahakama za kimataifa, na kama unavyojua rekodi yetu huko ni kulipa faini tu za mabilioni....
View attachment 3386687
Kakosa kadogo tu na wewe. Hebu kwanza njoo PM nikugombeshe ππππapo nawewe umekosea kdooogo,,sio taniboi tunaita tandiboi hahaha