Nilitaka kusema , hiki chakula hata sijui watu wanakipendea nini ni uchafu tu ma kujaza mafuta ya alizeti tumboniSikubaliani na hilo ombi lako maana hakuna chakula kibovu kama hiki, hakifai kwa afya hata kidogo na ukweli ni kwamba ndicho kinachovunja nguvu za wanaume wengi na kuwatamanisha kushikishwa ukuta na wenzao.
Kila jamboSikubaliani na hilo ombi lako maana hakuna chakula kibovu kama hiki, hakifai kwa afya hata kidogo na ukweli ni kwamba ndicho kinachovunja nguvu za wanaume wengi na kuwatamanisha kushikishwa ukuta na wenzao.
KILA JAMBO TANZANIA LINAPONDWA KWANINI TUNAKUA NA NEGATIVITY KUBWA HIVIUtabrandije chakula cha maskini wa Dar es salaam ?
siwezi kuja sababu time is makangabiliti na nisijekupa madakesi🤣🤣🤣😂😂aaah tz nchi yangu weeeeeKakosa kadogo tu na wewe. Hebu kwanza njoo PM nikugombeshe 😂😂😂🖐
Kwa aasa zinapikwa hadi Kenya huko na Uganda, too lateKuna mnigeria amekuja Tanzania amesema moja ya vyakua alivyovipenda chips mayai ni kimoja wapo
Kwanini kama nchi tusibrand vyakula kama chips mayai yaani kikafanyiwa maboresho kwenye kupikwa yaani kukawa na standard ya kupika chips mayai
Mfano chips mayai ipikwe kwenye flampeni kubwa na ichanganywe na vitu kama nyama na mboga za majani
Kwanini nasema hivi vyakula mfano wa chips mayai vikiwekewa standard vinaweza itangaza Tanzania na vikavutia watu mfano capuchino na Italian pizza vimechangia kuitangaza sana nchi yao
Pale nini inavunja nguvu za kiume? Mayai ni afya na tunayala daily,Sikubaliani na hilo ombi lako maana hakuna chakula kibovu kama hiki, hakifai kwa afya hata kidogo na ukweli ni kwamba ndicho kinachovunja nguvu za wanaume wengi na kuwatamanisha kushikishwa ukuta na wenzao.
hiyo tayari inatrade mark tayari maana ilivumbuliwa na mwafrika muamerika miaka mingi iliyopitaTanzania tumelala sana ngoja nchi jirani waibrand waseme wao ndio wanzilishi
Pulizi kamu!siwezi kuja sababu time is makangabiliti na nisijekupa madakesi🤣🤣🤣😂😂aaah tz nchi yangu weeeee
Yaani kinatakiwa kupigwa ban, hakifai kwa afya kabisa.Nilitaka kusema , hiki chakula hata sijui watu wanakipendea nini ni uchafu tu ma kujaza mafuta ya alizeti tumboni
Jamii yetu bado inachangamoto sana mtu akiona ugali ulivyo mgumu anaamini ndo chakula chenye kujenga mwili kumbe ile ni carbohydrates na sio hata proteinPale nini inavunja nguvu za kiume? Mayai ni afya na tunayala daily,
Viazi ni wanga ile, sasa ni kipi hasa? mafuta au?
Unajua vyakula vya carbohydrates na proteinYaani kinatakiwa kupigwa ban, hakifai kwa afya kabisa.
😂😂yua finishingi mi oooooh bai laughingi,, nmekuja sijakuonaPulizi kamu!
Aiemu anda yua fiiti! 😂
Usiwe mpuuzi mkuu, hiki chakula si kizuri kiafya.....hakifai hata kidogo. Kama hutaki kuamini jitahidi kula kila week uone kama hujaanza kuomba kushikishwa ukuta au demu wako akaanza kuona mabadiliko ya mapigo yako kupungua.Kila jambo
KILA JAMBO TANZANIA LINAPONDWA KWANINI TUNAKUA NA NEGATIVITY KUBWA HIVI
Nimekuuliza swali unajua vyakula vya carbohydrates na protein au unaishi kimazoeaUsiwe mpuuzi mkuu, hiki chakula si kizuri kiafya.....hakifai hata kidogo. Kama hutaki kuamini jitahidi kula kila week uone kama hujaanza kuomba kushikishwa ukuta au demu wako akaanza kuona mabadiliko ya mapigo yako kupungua.
Na itolewe na tahadhari kwa walaji kuwa "Ulaji wa hiki chakula uvunja nguvu za kiume na uleta shinikizo la moyo na kufa ghafla."Ndicho kitu pekee kilichogunguliwa na mtanzania
Kweli inatakiwa iwe branded
Ova
usha wahi kula chips ya kenya utacheka ufe hawajui kuipika kabisaTanzania tumelala sana ngoja nchi jirani waibrand waseme wao ndio wanzilishi
Mkuu, I am educated,,,,,sijakujibu kishabiki, I know what I am talking about.Nimekuuliza swali unajua vyakula vya carbohydrates na protein au unaishi kimazoea
Unajua mtu aliyekula chips mayai ni sawa na aliyekula ugali maharage sababu wote wamekula protein na carbohydrates
Minaongelea mambo kitaalamu wewe unaleta story za vijiweni
Kula chakula fanya mazoezi tuNa itolewe na tahadhari kwa walaji kuwa "Ulaji wa hiki chakula uvunja nguvu za kiume na uleta shinikizo la moyo na kufa ghafla."
Ila kama nchi tumezubaa sanaNdicho kitu pekee kilichogunguliwa na mtanzania
Kweli inatakiwa iwe branded
Ova