Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 2,145
- 5,419
Nimesoma Id yako tu basi nimeamua kukukalia kimyaUsiwe mpuuzi mkuu, hiki chakula si kizuri kiafya.....hakifai hata kidogo. Kama hutaki kuamini jitahidi kula kila week uone kama hujaanza kuomba kushikishwa ukuta au demu wako akaanza kuona mabadiliko ya mapigo yako kupungua.
NjaaYu wili iti ende drinki enethingi yu wanti. Delishazi miti izi oso availabo. Iti izi apu tu yu bebi
Mama yangu uwa anapenda kuita flampena.ivi ni flampen au frying pan!?
naona ni kurahisisha kama ilivo ceiling board to singbodiMama yangu uwa anapenda kuita flampena.
So Tangu utotoni najua inaitwa hivyo .
Ni frying pan.si unajua watanzania kutamka kitu pasipokujua kiundaniivi ni flampen au frying pan!?
Historia hiyo hiyo unayoiamini wewe inakuambia 'Fries' asili yake ni Ubelgiji, mbona unakuwa na akili za kijana wa Kiislam kutopenda ukweli na kuamini hadithi za vijiweni tu?kipindi inavumbuliwa ubeligiji ulikuwepo? unabishana na historia?
Inaitwa El Sherif. Imekuwepo for about 3/4 years. It works sema coating kwenye kichujio imeanza kutoka.Ina muda gani ikiwa inafanya kazi? Kama ni durable na haina vipengele vya mara kwa mara, unaweza kuniambia ni brand gani mkuu? ASANTE 🙏🏿