Principles of democracyDemokrasia haina msaada wowote zaidi ya kuwagawa na wengine kugeuka vibaraka
China wanafuata demokrasia, ni vile tu some parts of democracy ambazo hawafuati nyingi hazina madhara ila zile important parts of democracy wanafuataDemokrasia peke yake haina maana.
China haina Demokrasia kama yetu lakini wako maili elfu moja mbele kimaendelea kuliko sisi.
Akili ya mtu mweusi tukubali kabisa Ina kasoro kubwa sana.
Unawezaje kukabidhi kila kitu, bandari, mbuga, dhahabu, airport, na Rasilimali zote watu wa nje au kuzipiga mnada, halafu unaenda kuomba misaada ????
Angeishi hapa Tanzania mzungu miaka kumi tu ya kimkakati tungeshudia tofauti ya akili ya mweusi na mzungu.
Mkuu K'Mundu Kamundu, asante kwa kuniweka kwenye maombi, naomba niheshimu mawazo yako kuwa mimi ni chama mkubwa wa Mama Samia na genge lake.Tunakujua brother wetu umekuwa chawa mkubwa wa Samia. Samia na genge lake . Umekuwa mwepesi wa kusingizia sheria ili kujifurahisha nafsi lakini bro ukweli ni huo. Nakuomba sana kwa sisi tunao kuheshimu na kukupenda usiharibu legacy yako kwa kutetea mambo ambayo yanarudisha nchi nyuma. Achana na uchawa na sasa kwanini bado unatetea hawa jamaa! inasikitisha na tutakuweka kwenye maombi seriously.
China,ghuba hawana democracy na wanasinga, democracy mmeletewa Ili mvurugane,juzi hapa mmeuanaPrinciples of democracy
1. Rule of Law. No one is above the law
2. Human rights observation, protection and promotion
3. Free and fair elections
4. TRANSPARENCY AND ACCOUNTABILITY
5. Freedom of media and expression
6. Good governance
7. Citizens' participation
8. Separation of Power (Legislature, judiciary & executive)
9. Multi-party system
10. Political tolerance
Democracy ni kufuata hivi vyote na ukifuata hivi vyote maendeleo yanapatikana vizuri tu. Sisi hatufuati demokrasia halafu tunasingizia ni mfumo mbaya wakati hata kuufuata tu properly tumeshindwa. Yani democracy hii hii inayohamasisha Transparency and Accountability useme haina faida?
Kwani Shoga hawezi kuwa Rais? Ila mwizi? Jambazi? Muuaji? Huyu anaweza na anatakiwa kuwa Rais?Unamaanisha na sisi tuchague rais shoGa ili tukidh demoklasia uipendayo
Mkuu K'Mundu Kamundu, asante kwa kuniweka kwenye maombi, naomba niheshimu mawazo yako kuwa mimi ni chama mkubwa wa Mama Samia na genge lake.
Naomba nichukue fursa hii kukupitisha kwenye baadhi ya mabandiko yangu 20, na uwe mkweli kama haya ni mabandiko ya kichawa kumchawia Rais Samia !.
Karibu.
Ukitaka mabandiko 50, nakuwekea, na ukitaka mabandiko 100, pia yapo!.
- Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa
- PreGE2025 - Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!
- PreGE2025 - Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
- Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
- Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
- Japo Kelele za Mlango, Hazimkoseshi Mwenye Nyumba Usingizi, Zikizidi Zinakera!. Kelele za Minimum Reforms, Sio Kero?, Mwenye Nyumba Anapata Usingizi?
- Kelele za Mlango, Chura Kisimani na Joka la Mdimu. Japo Si Lolote, Si ChochoteZikizidi ni Kero. Maa' Hebu Wape Tuu...Bila Mabadiliko, INEC ni Batili!
- Kufanya Kosa si Kosa, kosa Kurudia Kosa!, Kama Kosa lina consequences, ukirudia, the consequences are the same!. Je Tujiandae for The Consequences au?
- PreGE2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!
- Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa?
- Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!
- Japo hakuna ajuaye sababu za kuitwa Kaka, isipokuwa YEYE, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akaitwa. Dada ukisikia Hii usipuuze!
- Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?
- Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?
- Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
- Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...
- PreGE2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!
- PreGE2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!
- Kufanya Kosa si Kosa, kosa Kurudia Kosa!, Kama Kosa lina consequences, ukirudia, the consequences are the same!. Je Tujiandae for The Consequences au?
- Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
P
Kuwa direct,ni jambo moja,na kuwa za kichawa ni jambo jingine.P,
Namba 15 peke yake nyingine zote ni za kichawa bro hazipo direct kabisa .
Kuwa direct,ni jambo moja,na kuwa za kichawa ni jambo jingine.
Kama mada kama hizo, kwako unaiona ni za kichawa, naomba niheshimu msimamo wako.
P.
Asante kuniombea, ubarikiwe sana.Nimekuombea na nitaendelea kukuombea you deserve better.
Hicho kinachoitwa Demokrasia ni ujinga na hakina faida yeyoteNchi kama Zambia, Malawi , Kenya, Botswana zimeona mbali sisi tumebaki na wizi wa kura na uchawa. Tupiganie nchi yetu
Huyu ni Wakili wa Rais Duma Boko amewasili katika Hotuba ya Bajeti ya mwaka 2026 iliyofanyika katika Parliament Buildings jijini Gaborone
Asante kuniombea, ubarikiwe sana.
P
Hicho kinachoitwa Demokrasia ni ujinga na hakina faida yeyote
Demokrasia inamsaidiaje mkulima?Machawa wanahitaji dawa tu wewe ni chawa nyamaza nenda kwa Mama yako
naam, mkuu watu ukiwaambia tatizo kubwa la nchi hii ni fikra hawataki kukubali --- imagine unaenda ofisi fulani hadi unajiuliza hawa watu kazi wamepataje? wamesoma wapi? na mbona wamepita mjchujo wa ajira ila hii kazi wanayofanya mbona hata wao hapa ofisini hawaielewi?Demokrasia peke yake haina maana.
China haina Demokrasia kama yetu lakini wako maili elfu moja mbele kimaendelea kuliko sisi.
Akili ya mtu mweusi tukubali kabisa Ina kasoro kubwa sana.
Unawezaje kukabidhi kila kitu, bandari, mbuga, dhahabu, airport, na Rasilimali zote watu wa nje au kuzipiga mnada, halafu unaenda kuomba misaada ????
Angeishi hapa Tanzania mzungu miaka kumi tu ya kimkakati tungeshudia tofauti ya akili ya mweusi na mzungu.
Umeongea vyema sana, kwenye siasa kuna makundi mawili tu, enemy and tools, wapiga kura wote ni tools za enemy kufikia malengo yao.Demokrasia haina msaada wowote zaidi ya kuwagawa na wengine kugeuka vibaraka
Nilikushauri uwe na heshima!, hi Nchi ni ya CCM, watu wake ni mali ya CCM, katiba ni ya CCM na kura pia ni za CCM!, one can not steal from oneself, hakuna wizi wowote kwasababu mtu huwezi kujiibia kitu ambacho ni chako mwenyewe, ni unakuwa ni umechukua!. Uchaguzi wetu ni igizo tuu la uchaguzi, kinachofanyika kwenye uchaguzi ni
unachukua ...
unaweka....
malizia....!
P
Umenena vyema sana tena kisomi mkuu.China wanafuata demokrasia, ni vile tu some parts of democracy ambazo hawafuati nyingi hazina madhara ila zile important parts of democracy wanafuata
Mfano Transparency (China wanapenda uwazi kwenye public funds, wanapinga sana ufisadi ukiwa fisadi utakiona cha mtema kuni, hii ni demokrasia), kingine wanachofuata ni Accountability (watu wanajituma kutimiza wajibu wao), good governance nk
China wamechukua best parts of democracy na ku ignore the rest. Aisi zile good parts of democracy zote tunazi violate ndio maana hatuendelei. No transparency, no accountability, no good governance, etc
AmenSiku 7 kuanzia leo utapata afya njema zaidi ikiwa hivyo nitumie ushuhuda
I know deep inside your heart is actually in good place.Amen
P