Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na idadi kubwa ya vijana kwa mujibu wa sensa.
Napendekeza Tanzania tunayo itaka ione hii kama fursa kwa maendeleo ya nchi,
Kama vile ikitokea janga la njaa, mafuriko, maporomoko ya tope kule hanangi, na majanga mengine serikali inao wajibu pia kulichukulia swala la ongezeko la vijana na ukosefu wa ajira kama janga maalumu la kutafutia ufumbuzi wa haraka. Mfano mafuta yalipo panda ilipekea mfumuko wa bei katika bidhaa nyinyi, na katika kushughulikia suala hili Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alitoa ruzuku ya bilioni 100 kwa mwezi kupunguza makali ya mfuko wa bei ya mafuta. Hatua za haraka kama hizi tuzipeleke kwenye changamoto ya ajira kwa vijana kwa manufaa ya nchi yetu kutokana na umuhimu wa jivana.
Napendekeza hatua zifuatazo katika kutatua tatizo la ajira nchini.
i, Tutambue elimu kama sehemu ya vipawa vya watu. Serikali imekuwa kipaumbele kuunga mkono vipaji kama Mpira, ngumi, muziki na uigizaji. Naomba mtambue kuwa tupo vijana wengine ambao hatuwezi kuimba, kucheza Mpira, wala kucheza vitasa, vipaji vyetu ni shahada, na astashahada tulizo nazo, tunazo nguvu na uwezo mkubwa wa kutibu, kufundisha, kubuni, kutawala n.k chukulieni hivo ni vipaji vyetu na sisi ili muone ni kwanjia gani mnaweza kuviendeleza na kusapoti kama mnavo sapoti vipaji vingine.
ii, Kutenga bajeti maalumu kwa ajiri ya vijana wasio na ajira maalumu (kujitolea). Vijana wengi tupo tayari kujitolea na kufanya kazi kwa mujibu wa sheria kama inavo fanyika jeshini, isipokuwa mazingira ya kujitolea ni magumu kifedha na ata kupata heshima tunayo sitahili kama sehemu ya watumishi, tunayo kutana nayo wakati wa kujitolea ni zaidi ya kuzalilishwa. Napendekeza serikali kutenga fedha na kwa wahitimu wote sekta mbalimbali waingie moja kwa moja katika ajira ya muda kwa malipo ya serikali kuu angalau kwa miaka 5, hii itaongeza uzoefu wa taaruma, itaongeza ushindani katika ajira za sekta binafsi zinazo hitaji wafanya kazi wenye uzoefu wa angalau miaka 2, itaisaidia serikali kutimiza malengo yake. Mfano kwasasa kuna uhaba wa 55% ya walimu wa sayansi nchini, mtaani kuna zaidi ya 55% ya walimu wa sayansi wanafanya kazi za vibarua na italeta heshima kwa watumishi wanaojitolea kwakuwa utakuwa mfumo rasmi.
iii, Napinga matumizi ya akili mnembuka, roboti, na sayansi. Mifumo hii haitaleta matokeo mazuri, na hatuna haja ya kutumia njia kwasababu tuna nguvu kazi ya kutosha. Mfano, mfumo uliofanyiwa majaribio hivi karibuni wa mwalimu 1 kufundisha nchi nzima. Kila mtu anajua umuhimu wa mwalimu 1 kufundisha wanafunzi kwa uwiyano usiozidi wanafunzi 45 unafaida kiasi gani, kwasababu inakuwa rahisi kumfatilia mwanafunzi mmoja baada ya mwingine kwakuwa kila mwanafunzi anauelewa wake, kwa vyovyote vile mwalimu 1 kufundisha nchi nzima kwa wakati mmoja ni wazo baya. Vijana tuna tunanguvu na uwezo wa kufundisha katika madarsa rasmi, matumizi ya roboti yatumike sana jeshini kazi inayohusisha utowaji wa uhai.
vi, Naunga mkono asilimia 10 fedha za mkopo kwa kila halmashauri. Na wazo langu katika fedha hii asipewe kijana badala yake umri wa kustaafu upungue kutoka miaka 60 hadi 55, na fedha hiyo wapewe wazee kwasababu nguvu yao ya utumishi imepungua na pia wanakuwa na vitu vingi walivo wekeza hivo ni rahisi pia serikali kukusanya fedha hiyo kama marejesho tofauti na kuwapa vijana ambao hawana kitu chochote cha thamani, hawana utulivu wa kutosha kulingana na ndoto walizo nazo, ni rahisi kupoteza fedha kwasababu ikitokea wamepata hasara hawana chochote cha kurejesha kwa serikali kama mbadala na hivo inabaki hasara kwa halmashauri husika.
Mwisho, Mungu ibariki Tanzania

Upvote
2