Mtazamo wa elimu yetu ni kuwa elimu ni njia ya kupata fedha na maisha bora, Tumekuwa tukiona walimu, wazazi/walezi, viongozi wa serikali na jamii ikihamasisha watoto kuzingatia elimu ili baadae waishi maisha mazuri, badala ya kusisistiza elimu yetu kutatua matatizo.
Hatuhitaji tena elimu inayo hamasisha maisha bora kwanza, tunataka elimu inayo hamasisha Kutatua matatizo. Kwasababu elimu ya kuhamasisha maisha mazuri imekuwa chanjo cha vijana wasomi kukimbia vijijini na kukimbilia mijini, wakikimbia matatizo ya vijijini ya afya, miundo mbinu, n.k badala ya wao kuwa sehemu ya majibu ya matatizo hayo.
Tukukumbuke kuwe kauli mbiu katika kutekeleza mambo zina nguvu kuliko hata mitaala ya elimu tunayo pambana nayo kila siku. Mfano kila mtu ni shahidi kauli mbiu ya "HAPA KAZI TU" ni kwakiasi gani iliongeza nguvu ya utendaji katika serikali ya awamu ya tano. Hivo tunaweza kuipa nguvu elimu yetu kwa kauli mbiu yenye maono ya lengo la elimu ni kutatua matatizo na sio maisha bora, maisha na fedha ni matokeo ya kutatua matatizo mbalimbali ya jamii zetu.
Changamoto za elimu inayo hamasisha maisha bora ni nyingi kuliko faida, ambayo ni kumfanya mwanafunzi ajitume na kuweka nguvu zaidi katika masomo, kwa mfano ikitokewa wasomi hawa wameajiriwa hugundua kuwa elimu zao na mishahara yao haiwezi kuwapa maisha bora kama walivo aminishwa, kwasababu ni kawaida kabisa mshahara wa mwezi mmoja kuto kutana na mshahara wa mwezi unaofata hapa Tanzania kwa watumishi wa kada nyingi, wasomi hawa hugeuka wezi, wala rushwa na mafisadi, ili kujilimbikizia mali kwa malengo yao, huku nchi ikibakia kwenye hali ngumu na matatizo yake. Ni kawaida kabsa kwa Mtanzania kuishi maisha ya kifahari sawa au zaidi ya watu wa magharibi kwa miaka ya sasa wakati huo mtu huyo huyo ana wadhifa mkubwa serikalini lakini hawezi na hajaweza kuifanya nchi iwe sawa na moja ya nchi za magharibi.
Hivo, kwa washika dau wa Elimu, ni wakati wa kubadili mtazamo wetu kutokea Elimu ya kutengeneza fedha, kuja kwenye mtazamo wa elimu ya kutatua matatizo na fedha anazo pata mtu ziwe matokeo ya kutatuliwa matatizo. Naamini tukiweza kubadili mtazamo juu ya elimu, tutatua ata tatizo kubwa la;-
-Ajira ambalo limekuwa pasua kichwa kwa Duniani kwasasa, kwasababu tutatengeneza watu bora wasio jilimbikizia mali, na watakuwa watu wenye kuisaidia nchi wabunifu, na wenye kufanya tafiti nyingi.
-Tutapunguza idadi ya vijana na watumishi wanao hama vijijini kuelekea mijini wakikimbia matatizo, badala yake wao watakuwa dawa ya matatizo ya vijijini.
-Tutatatua maswala ya mafuriko kwa baadhi ya maeneo. Kuna maeneo mafuriko husababishwa na shughuri zetu wenyewe kwakuwa tuanajali fedha kuliko kutatua matatizo, tupo radhi kufanya shughuri yoyote ile na kwa mazingira yoyote yale ilimradi tunapata fedha, hivo hujikuta tumepelekea kuharibu njia za maji, kuziba mitaro kwa taka ngumu badae yanatokea mafuriko.
-Tutapunguza vijana wapenda hanasa, mataperi wa mitandaoni, na wanaoshinda kucha kutwa mitandaoni kuangalia udaku na maisha ya watu. Vijana wengi wasomi huamini wakisha soma kuna baadhi ya kazi hawatakiwi tena kufanya, kwakuwa elimu humfanya mtu kuwa tajiri, hivo hutumia muda mwingi mitandaoni pengine hata utaperi na kubeti ili kujipatia kipato. Unaweza ukapata ushahidi wa kutosha kutoka kwa wanafunzi wa chuo, hutumia fedha zao kununua simu na komputa za kisasa, kufanya starehe na kuishi maisha ya kifahari badala ya kuwekeza kwenye tafiti mbalimbali, wanapo hitimu vyuo hukosa mwelekeo nakujikuta kwenye maisha ya mitandaoni.
Mwisho, tutaisaidia nchi yetu kupata maendeleo kwa kasi na kufikia malengo yetu, kwasababu matatizo tunayo tatua ndo hizo kero na vitu ambavyo kila siku serikali inatumia gharama kubwa, na kuingia madeni ili kuvifanikisha ikiwemo miundo mbinu, huduma za afya, nyenzo za kilimo, matumizi na uvumbuzi wa sayansi na teknolojia.

Upvote
2