Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Wizara ya Afya Uganda imesema kuna ongezeko la wagonjwa watatu wa corona na kufanya idadi ya maambukizi ya jumla ua corona Uganda kufikia 88, wagonjwa wapya ni Dereva wa Lori MKenya na wa Burundi na wa tatu ni Mganda aliyeingia nchini humo akitokea Bukoba Tanzania, waliopona corona ni Watu 52 na hakuna kifo cha corona Uganda.
#MillardAyoUPDATES
#MillardAyoUPDATES