Tanzania tungekuwa na akili tungetengeneza Taifa Stars sio kutegemea Klabu

Tanzania tungekuwa na akili tungetengeneza Taifa Stars sio kutegemea Klabu

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Nashangaa sana tunajivunia watu ambao siyo wetu mpaka tunafikia kusema eti wamewakilisha taifa.

Kiukweli huko ni kujidanganya na kujipa sifa za kijinga kabisa. Inajulikana wazi kuwa asilimia kubwa ya hawa watu ni wacongo na wanazipenda nchi zao hamuwezi kuwanyanganya haki hoyo hata iweje kwa mana hiyo tunawachora tu mnaposema eti wanawawakilisha.

Ndo mana bareke Huwa anatekbea na bendera ya Kingo siyo Tanzania. Tanzania tuache ujinga huo wa kutegemea clubs tutengeneze vya kwetu.

Tunajishusha hadhi eti mpaka Rais anawaita ikulu wakati anajua siyo watanzania ni wakongo na wengineo. Sasa nchi zao zikiamia kuwatumia kama spies kule ikulu ili kiteka nchi vizuri. Jamani tuwe na akili.
 
Huu ni ukweli mchungu, wanasiasa wanajiingiza kwenye mafanikio ya klabu hizi kubwa na kujifanya wanasapoti.

Waandae academy bora za watoto wa kitanzania. Angalia vikosi vya al ahly na wydad cassablanca unakuta wageni ni wawili tu kwenye timu.
 
Kweli kabisa.Kama ni tunajiandaa na michuano ya mataifa ya Africa 2027,tuandae vijana toka sasa

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo Taifa stars utaipata wapi usipokuwa na vilabu imara na makini?

Roho inakuuma Sana eeeenh?
 
vilab vyetu hizi vimekaa kisiasa na kichumia tumbo, hatuwezi kua na taifa staz zuri?
 
Back
Top Bottom