Tanzania tungekuwa tuna uchaguzi huru na tungekuwa tunafanya uchaguzi wa kumuangalia mtu sahihi basi Lissu angekuwa Rais

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
227
Reaction score
310
Lisu ni mtu sahihi Kwa Taifa ili Kwa bahati Mbaya Taifa letu wapiga kura hawangaliii uwezo wa mtu bali wanaaangalia chama na Dola bali siyo uwezo wa mtu.

Lisu uwezo wake ni sawa na uwezo wa MKAPA, JPM
 
Hata Lowasa angekuwa rais mtaafu.
 
Lisu ni mtu sahihi Kwa Taifa ili Kwa bahati MBAYA Taifa letu wapiga kura hawangaliii uwezo wa mtu bali wanaaangalia chama na Dola bali siyo uwezo wa mtu.
Lisu uwezo wake ni sawa na uwezo wa MKAPA, JPM
pale anapotajwa magufuli , i don't know what i feel bt nahc mwingine ni antipas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…