Tanzania tuombe kuwa watawala Congo mashariki

Tanzania tuombe kuwa watawala Congo mashariki

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kupunguza umasikini wa hali ya juu . Tanzania pamoja na South Africa tuombe kwa congo kuwa watawala rasmi wa sehemu hii ya mashariki mwa congo kwasababu congo peke yake wameshidwa. Tanzania tuna aminiwa na wa congo wa mashariki wana utamaduni wetu. Hatua hizi zipitishwe

1. Congo mashariki wapige kura kama wanaunga mkono congo mashariki kuwa sehemu maalumu ya Tanzania
2. Serikali ya congo ikubali
3. Jeshi la Tanzania ndiyo liwe jeshi kuu congo ya mashariki
4. South Africa iwe nchi shiriki
5. Tanzania kwa upande wake ipitishe katiba ya kidemokrasia kama ya South African. Hatuwezi kwenda na hii serikali ya makundi ya mafisadi

Wa congo wa mashariki wengi wataunga mkono
 
PALE HAPAWEZI KUTATULIKA DAIMA RASLIMALI NZITO ZINAWATESA WAKONGOMANI.

MASHARIKI MWA KONGO NDIO SEHEMU PEKEE INAYOTOA MADINI YA KUTENGENEZEA LAPTOP NA SIMU ASILIMIA 90 YA SIMU NA COMPYUTA NI MADINI YA KONGO.
 
Ni wewe unaona ccm bila nchi kuwa na wasanii ccm kushika nchi. Punguza ujinga unajua kwa nini Trump kakunyima choo cha shimo,peleka bungeni sasa kuwa unakunya kwa msaada wa mama.
 
Back
Top Bottom