Tanzania tusifanye Nchi yetu kuwa Kampuni kama Gachagua alivyouchambua Mkataba wa Kugawana share za uongozi Nchini mwake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tunasifia Katiba ya Kenya ni Bora lakini kiukweli ina Ujanja Ujanja mwingi sana ndani yake

Watu wanagawana keki ya Taifa kwa ukabila na wanasainishana Mikataba kabisa

Gachagua Leo ametoa Siri Kubwa sana tena kishujaa kama Shujaa wa Tanzania

Jirani zetu ni mbumbumbu sana

Mlale Unono πŸ˜€
 
kuna shareholder moja ambae ana shares kidogo sana, amedai eti atakamata boing ikienda kule kwa waawezeshaji wake wa ng'ambo..

hii unaizungumziaje kwa mfano πŸ’
 
Hujaelewa kizungu mjinger wewe🀣
 
Huku vyeo vinatolewa kwa wazanzibar na waislam pekee huoni?
 
Hii power sharing agreement ni uyaunani kama ule wa siasa za majimbo
 
Tu
takapo iandika Katiba yetu mpya hatuwezi kuchukua yale ya kimbumbumbu bali tutachukua yale tutakayoona yatakuwa na manufaa kwa Nchi yetu !
Katiba mpya bora ni muhimu πŸ™ŒπŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…