Tanzania tusifanye Nchi yetu kuwa Kampuni kama Gachagua alivyouchambua Mkataba wa Kugawana share za uongozi Nchini mwake!

Huku vyeo vinatolewa kwa wazanzibar na waislam pekee huoni?
TUKISEMA HAPA KUWA MAKAFIRI NCHI HII MNA CHUKI NA NI CHANZO CHA CHOKO CHOKO MNAKATAA...

UNAJUA KABISA PAMOJA NA KUWA SAMIA NI MUISLAM LAKINI NAFASI NYINGI ZA UONGOZI SERIKALINI AMEWAJAZA NYINYI MAKAFIRI,THEN UNAKUJA NA LUGHA ZA CHUKI DHIDI YETU WAISLAM BILA SABABU YYTE ILE.

KWANINI MAKAFIRI MNABEBA SANA HIZI MIMBA ZA CHUKI??NA MIMBA HIZI MTAZAA LINI??
 
Kafir ni yule anayejiita muislamu huku akiwa hafuati mafundisho ya Mtume Muhammad SAW
 
Hatuna unafuu wowote, kwao keki ya Taifa wanagawana kikabila sisi keki ya Taifa tunagawana kimatabaka, umezaliwa kwenye familia ipi, upo chama gani na uchawa.
 

Kwani Tanzania hayafanyiki hivyo .... wewe utakuwa umelala usingizi wa tembe.
 
Power sharing agreement ni makubaliano ya wanasiasa wakati wa kuunda coalition kwenye uchaguzi. Kosa lipo wapi?
 


Gachagua yuko sahihi na wakina Ruto wakimfukuza bado Gachagua atawachapa sana tu. Wamekosea sana kuanza process ya impeachment. Kwanza Ruto na wenzake wote ni mapapa wapigaji. Gachagua kuonyesha jinsi marais wengi wa africa walivyo wabinafisi, waongo, wabanafsi na wadanganyaji kwa raia. Nchi nzuri kabisa kama nzuri kama inagawanywa kwa wahuni? Kwa lugha nyepesi ni kuwa cake ya kenya inaliwa na wahuni wachache na makabila makubwa. Je vipi makabila madogo ? Nyerere aliondoa huu ujinga na upuuzi. RIGg chapa hao wajinga wote. Pengine kenya wanahitaji KANU tena?
 
Hata wewe ni kafiri kwa mujibu wa Biblia Takatifu.
 
WEWE KWELI NI MTITO MDOGO ...BOLA KENYA WAMEIFANYA SERIKALI KUWA KAMPUNI YA WAZAWA ...HAPA TANZANI SERIKALI IMESHA KUWA KAMPUNI.LA RAIA FEKI (WAGENI)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…