K KOROE Member Joined Dec 6, 2017 Posts 90 Reaction score 736 Dec 8, 2017 #1 Hii nchi kwa suala la kandanda tukubali hakuna kitu, Hivi kwanini tusitafute mchezk tunaouweza vema na kuumudu tukawekeza huko naamin tungesikika kimataifa kuliko kulazimisha michezo kama soka..
Hii nchi kwa suala la kandanda tukubali hakuna kitu, Hivi kwanini tusitafute mchezk tunaouweza vema na kuumudu tukawekeza huko naamin tungesikika kimataifa kuliko kulazimisha michezo kama soka..
Night Watch JF-Expert Member Joined Apr 4, 2017 Posts 2,092 Reaction score 2,126 Dec 8, 2017 #2 Hakuna mchezo tunaouweza sisi.
gollocko JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 2,945 Reaction score 2,280 Dec 9, 2017 #3 Huyu mtangazaji wa mechi ya Kilimanjaro na Rwanda naona, atajamba kabisa, kila wakati ni ajiiib, na goli haipatikani
Huyu mtangazaji wa mechi ya Kilimanjaro na Rwanda naona, atajamba kabisa, kila wakati ni ajiiib, na goli haipatikani